Halotel customer Care ni Jipu

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,089
1,297
Pamoja na uzuri wa huu mtandao huduma kwa wateja hawapatikani kabisa. Kila nikipiga simu inakata juu kwa juu, kwa kweli msipolifanyia kazi linaweza kuwaangusha.
 
Back
Top Bottom