Halotel BBM internet bundles

wolf5100

Member
Apr 9, 2016
58
26
Hellow members.
Naomba kufahamishwa BBM internet bundles kwa mtandao wa halotel. Sioni kabisa kwenye menu yao na customer service ni jipu. Wanahuduma nzuri upande wa internet, calls & masages.
 
Hueleweki unachotaka...unataka nini hasa
 
Back
Top Bottom