Halotel, Airtel na TTCL nani Kitonga zaidi kwenye data?

Halotel, Airtel na TTCL nani Kitonga zaidi kwenye data?

usatz

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
96
Reaction score
45
Watumiaji wa
Halotel
Airtel
TTCL

Embu nihabarisheni bundle zikoje za Data tu zile za mwezi

Vodacom na Tigo nimeshindwa
 
Halotel juzi tu ilikua Buku unapata 550 MB ila leo nacheki nakuta 490 MB aisee.

Nahakika tunakuja nunua Buku kwa MB , 250 huu mwaka haujaisha.
 
Back
Top Bottom