Kweli Mkuu, hawa jamaa hawashirikishi wananchi vizuri kuna maeneo mengi sana hawatoi hizo risiti. Ule mpango wao wa 3% naona kama haupo tena maana kuna mtu aliwasaidia kupata kodi ya mabilioni lakini hakumpa, wakasema mwisho Mil 20 tu na hata hiyo hakupewa alivyodai akakamtwa na polisi. Kuna clinic moja ya macho city centre kabisa na wala hawatoi risiti za EFD, nina ushahidi mtu kalipa jumla ya laki na elfu 85, wakati kuna sehemu sh 200 ya kujisaidia inatolewa EFD. Elimu zaidi na ushirikishwaji wa wananchi unahitajika, kwa mfano wewe ilitakiwa uwe na namna ya kuwasiliana na TRA , wangekuwa wametoa mawasiliano. T