Halmashauri zatakiwa kufyeka bajeti zilizokosa uhalisia!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,141
29,670
Hizi ni nyeti za chini ya kapeti kwamba bajeti nyingi za halmashauri zimefyekwa kwa kuwa hazina uhalisia.

Kwa sasa ni lazima uweke makisio ya bajeti kulingana na uhalisia wa utakachokusanya au kuletewa na serikali kuu.

Nategemea bajeti ya mwaka huu kuwa na uhalisia zaidi kuliko matarajio feki ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom