chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,964
Nimecheka utadhani mazuri.....Walikataza mikusanyiko ya vyama vya siasa.Naona na sasa wanazuia mikusanyiko ya matunda.
mkuu inaonekana unaichukia sana CCM, attitude kama hii sio nzuri, kueta u CCM na U Chadema kila jambo?Huko ndiko CCM ilikopata kura nyingi!
Utasikia wanamuhujumu Mkuu Kaya!!
Mkuu ww huisomi?Wacha waisome namba