mkananguja
Member
- Jan 30, 2014
- 55
- 3
Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi 0629088763
Huyo wa kukufanyia hiyo kazi utamlipa! Embu acha uvivu jiongezee siku hizi taarifa ziko kila mahala.
siku ukienda ulaya wewe si utataka ukatiwe na vipande vya ramani uweke kwenye bagNaomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi 0629088763