Halmashauri ya Arusha chini ya CHADEMA yateketeza bil 1.1 sawa na mashine MRI

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
20160331_072805.jpg
 
TOKA LINI HALMASHAURI HII ILIKUWA CHINI YA CCM; NI MIAKA 15 HIPO CHINI YA CHADEMA.
BARAZA LA MADIWANI WA CHADEMA , WANAIIBA KWA KUPITISHA VIFUNGU VYA KIFISADI.
Hahahaha!! Ni waizi eeeh
Tupe taarifa mkuu au unatuambia tukanunue gazeti?
 
TOKA LINI HALMASHAURI HII ILIKUWA CHINI YA CCM; NI MIAKA 15 HIPO CHINI YA CHADEMA.
BARAZA LA MADIWANI WA CHADEMA , WANAIIBA KWA KUPITISHA VIFUNGU VYA KIFISADI.

Wewe utakuwa umejichanganya kwenye siasa uzeeni. Shikilia hapohapo
 
HALMASHAURI YA ARUSHA UNAONGOZWA NA CHADEMA.

CHINI YA LEMA, AUA UNARUKA KWA MADUDUD HAYO

Jiulize kwanza hao watumishi hewa ni kuanzia mwaka gani. Na Chadema wameshika Halmashauri kuanzia lini??
Hawa watumishi hewa waliopatikana katika Halmashauri zetu, ni kutoka serikali ya awamu ya 4 au ya 5?? na unatakiwa ujue rais wa awamu ya 5 ni nani??

Ukipata jibu ya serikali ipi iliyosababisha ulipaji hewa ndio utapata jibu ya uliyoandika hapo juu kuhusu Chadema
 
Jana watu wa kijani walikua wanasherekea kauli ya Simbachawene kwamba yote yanayotekelezwa ni ilani ya ccm, leo hapa wafanyakazi hewa kwenye halmashauri za Arusha ni aka nyumbu?

Tumfuate nani? Tuamini kauli ipi?
 
Ha ha haaaa! Buku 7 zinadhalilisha watu jamani! Sasa uongozi wa Halmashauri ndo unaajili watumishi wa umma? Hapo wametaja mikoa kama mikoa na idadi ya watumishi hewa wa umma na si watumishi wa halmashauri. Sasa sijui halmashauri ndo inaajili watumishi wa umma au? Kweli vijana wa Lumumba wagonjwa!

Alafu kama ni hivyo mbona mkoa wa Mwanza ndio unaongoza kwa wafanyakazi hewa wanaolipwa bil 3.3? Kwani halmashauri ya Mwanza ipo chini ya CHADEMA? Au kwenye hilo gazet umesoma heading tu pale kwenye meza ya magazeti na hata gazet lenyewe haujalinunua?

Nashauri muwe mnatumia akili ya kichwa kikubwa na sio kichwa kidogo cha chini kabla ya kupost.
 
MKOA MWANZA ULIKUWA CHINI YA CHADEMA UNDER WENJE ,
SAME Scenario
 
chadema ni kansa! fikiria wangepewa nchi wangewezaje kisimamia kama jiji moja limewashinda? chegadema ni saccoss na ni kansa kansa kansa!

jifunze kuandika vizuri ili ueleweke hata ukichelewa kujibu post mawazo yako tutayaelewa tu.....
 
Back
Top Bottom