Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Huyu mwanamama kama uliangalia john wick 3 basi wewe sio mgeni wa halle berry yule mdada anayepigana na mbwa wake fight like hell
Filamu ya bruised Jack justice mpambanaji mzuri wa Mchezo Ngumi na mateke MMA baada ya kupoteza Pambano lake la kuchukua ubingwa baada ya kupigwa na lady killer maisha yanaenda vibaya sana anaanza kuwa mlevi lakini usiku mmoja aliyekuwa manager wake bwana desi anampeleka night club za mapambana
Kuna mdada bausa kwelikweli anamletea kejeli jackie Yule dada wakuitwa were wolf anapigwa kama mtoto mdogo Ikabidi bwana mkubwa imaculate ampe bussines card ampigie budhakan mwalimu wa MMA mambo mengi yanatokea ikiwemo kurudishiwa mwananaye wa kiume mwenye miaka sita
movie iko vizuri upande wa action ndo balaa na story line yake iko poa
Ikumbukwe director ni yeye mwenyewe halle berry [emoji109]
rate 8/10
Unawepa pakua netnaija.movie [emoji39]
ama uende netflix ukastream [emoji39]