Halima Mdee Unachemka

Una funza kwenye ubongo, mdee anakusanya kodi yako?

Anakula kodi zetu kwenye mshahara, posho na marupurupu ndio maana tunataka awe responsible.

To whom much is given much should be expected
 
Acha kulialia jimbo kubwa usiangalie eneo moja.
Mhh wewe ndio Mdee mwenyewe nini? kwani wakati anaomba Kura zetu alikuwa hajui kama jimbo ni kubwa? Afanye kazi.
 
Acheni longolongo ccm wamekalia hilo jimbo yangu Uhuru hawajajenga hiyo barabara kwa 50yrs unataka mdee ajenge kwa 3.5 yes how come?

ccm acheni unafiki.
 
Sijui kwanini hata kwenye kudiscuss jambo watu wanachangia kichama chama...
 
Offcoz sisi hatutaki msaada wake yeye anatakiwa atu mobilize tu tufanye wenyewe.

wewe michael acha upuuzi wako, nini maana ya kumteuwa au kumchagua mbunge anayeweza kuleta maendeleo ktk eneo husika? vipi na wewe umeanza kuwaza kwa kutumia tigo? acha ushamba wa posta
 

Poleni sana Makamanda.
 
Yeye si ametususa sawa tutaona 2015 sijui atapita barabara gani, sisi ni watu wa mageuzi na action..tumejichangisha wenyewe 10,000 kwa kila mtu, na huku kuna vichwa kama 700 hivi na tumetengeneza sehemu zote hatarishi now barabara inapitika, nilikuwa nataka aone Jinsi gani sisi tunauwezo wa kutafakari na kuchukua Hatua na kutoa feedback. yeye alikuja akatafakari..akaingia mitini na hakuna feedback, Asanteni sana mlio changia Uzi huu kwa mawazo yenu. nita post Picha za marekebisho tuliofanya pamoja na nakara ya kuchangishana ili kutengeneza barabara maana ilikuwa hatari, itokee kuna mgonjwa anatakiwa hospital haraka kwa kweli angeweza fia njiani. Ukiangalia swala hili unaliona kama mzamaha lakini lina mambo mengi sana. nitapost picha kesho za vielelezo. Asanteni.
 

hapa nisawa na kumtuhumu monita kwa kutosahihishwa kwa daftari wakati msahihishaji ni mwalimu
 
Ingawa CDM magumashi lakini hapa kama mnamuonea huyu dada, kwanza ujenzi ama ukarabati wa barabara unatokana na fedha zinazotengwa na serikali kuu ama zipo kwenye mkakati wa taifa.

Hizo hela Mdee hana uamuzi ziende wapi ni jukumu la serikali mitaa na manispaa sasa yeye afanyaje zaidi ya kuomba tu wazibe hayo mashimo na alikadhalika hawezi ingilia priority zao, atleast hata madiwani wanakaa kwenye budget hizi lakini mmbunge sijui anasaidia vipi labda atumie hela zake mwenyewe.

Kuna viongozi wengi sana ambao ni wabunge na wanauwezo wa ku-influence wizara na budget ambao wamearibu dhana ya uwakilishi kwa kupeleka vitu kwao kama hongo kutokana na nafasi zao za juu kiupendeleo upendeleo. Hili lazima lieleweke kwasababu si wabunge wote wanauwezo huo wengine sanasana inabidi wakumbushie au waponde sera lakini kutegemea mmbunge aone shule zimejengwa, barabara zimekuwa bora, sijui ulinzi umeimarika huko ni kupotoka yeye hana control na hizo budget wala priority za serikali ya mitaa, let alone sera za serikali kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…