utakuja kushangaa tena anatumia pesa kununua shahada kisha anakuwa mbunge tena!Watuletee yoyote yule but awe mchapakazi tu. Huyu Sister do Mdee naona kesha kuwa Tajiri sasa amesahau Mapinduzi, Kawa Bepari a.k.a Magamba
Tatizo lake huyu binti ni kutokubali ushauri, ni mbishi sana hata sisi makamanda wenzake anatupasua vichwa, ilikuwa kazi ndogo kupanga ratiba ya kujichimbia jimboni kwa siku 10 ya kila mwezi, angefanya maajabu, lakini sijui yuko occupied na nini sijui wakati jimbo hili lina watu wenye kuwa tayari hata kujichangisha kuchonga barabara zao. Magamba hawaaminiwi kabisa na wanchi kukabidhiwa michango yaoWatuletee yoyote yule but awe mchapakazi tu. Huyu Sister do Mdee naona kesha kuwa Tajiri sasa amesahau Mapinduzi, Kawa Bepari a.k.a Magamba
Tatizo lake huyu binti ni kutokubali ushauri, ni mbishi sana hata sisi makamanda wenzake anatupasua vichwa, ilikuwa kazi ndogo kupanga ratiba ya kujichimbia jimboni kwa siku 10 ya kila mwezi, angefanya maajabu, lakini sijui yuko occupied na nini sijui wakati jimbo hili lina watu wenye kuwa tayari hata kujichangisha kuchonga barabara zao. Magamba hawaaminiwi kabisa na wanchi kukabidhiwa michango yao
mlio karibu na mheshimiwa Halima Mdee wajibikeni kwa kumfikishia Ujumbe kutoka kwa mwananchi.
Hatuwezi kumpa tena maana hata hatujui anafanya kazi gani!
Hata kama hakusanyi Kodi Kawe ila yeye ndio Sauti yetu kwa Serikali. Sasa kama haongei habari zetu kwa serikali anaongea habari za nani? hili ni jukumu lake kabisaa hawezi likimbia. kama yeye hakusanyi Kodi kawe alikuja siku ile kwa mkutano alone kwa nini? kwanini asije na watumishi wa serikali wanaokusanya kodi? ni kwamba anajua hili ni jukumu lake yeye kwetu sisi.Mdee anakusanya kodi Kawe?
Watanzania wana tabu sana mkuu.Mdee anakusanya kodi Kawe?
Yani huu ni ushauri wa bure, Na kwa kifupi wala simsingizi yeye mwenyewe akiambiwa hili atakumbuka kama ubongo wake upo OK ila kama ni wa kuku hawezi likumbuka hili. Ni aibu sana, that day alijishaua sana akajifanya anawapigia simu wamiliki wa malori yanayo haribu barabara hii, huku akipiga SAVANAH yake baridiii as if tupo kwenye kikao cha kitchen party.Mdee achambue ushauri huu,asidharau na kuutupilia mbali.
Ndio maana tunasema wanasiasa wasitoe ahadi hewa,kama Chalinze nasikia Riz moko kaahi trekta kila kijiji na akishinda atakuwa na hardly mwaka mmoja tuu
Anaetakiwa kujua mambo ya kauchochoro ka mtaani kwenu ni Mbunge au Diwani?Hata kama hakusanyi Kodi Kawe ila yeye ndio Sauti yetu kwa Serikali. Sasa kama haongei habari zetu kwa serikali anaongea habari za nani? hili ni jukumu lake kabisaa hawezi likimbia. kama yeye hakusanyi Kodi kawe alikuja siku ile kwa mkutano alone kwa nini? kwanini asije na watumishi wa serikali wanaokusanya kodi? ni kwamba anajua hili ni jukumu lake yeye kwetu sisi.
Mdee achambue ushauri huu,asidharau na kuutupilia mbali.
Ndio maana tunasema wanasiasa wasitoe ahadi hewa,kama Chalinze nasikia Riz moko kaahi trekta kila kijiji na akishinda atakuwa na hardly mwaka mmoja tuu