bejamin
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 253
- 65
Huyu ni Mbungu wa jimbo la Kawe ambaye watoto wa kitaa wamemuelewa.
Mbunge huyu ni mbunge ambae natamani nchi nzima Ingekuwa na wabunge wa aina yake maana anatambua kazi amepewa na wananchi na sio kwa kubebwa
Nakubaliana na waliompa jina kuwa ni rais wa marais kwani utekelezaji wake wa kazi za kutetea wanyonge ni zaidi ya afanyavyo na walivyowahi fanya marais wa awamu zote.
Na pia marais wote wakimaliza vipindi vyao wanakimbilia kuja kuwa wakazi wake maana wanaamini watapata utetezi ulio kamili katika eneo hili.
Hapa mtizame akiwa kwenye ziara anbayo ameifanya jimboni kwake kila kata baada ya kutoka bungeni na hii alishiriki na watendaji na wananchi wa kada zote bila kujali itikadi.
Kwakweli huyu ni Mbunge stahiki na natamani kuendelea kuwakilishwa na Halima Mdee rais wa marais