ndevu mzazi JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 687 Reaction score 238 Aug 26, 2012 #1 anaongelea historia yake na siasa,karibuni
katesh Senior Member Joined Feb 6, 2012 Posts 117 Reaction score 21 Aug 26, 2012 #2 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari.
Bagrameshi Senior Member Joined Jun 22, 2012 Posts 131 Reaction score 43 Aug 26, 2012 #3 katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... hata kwa mizizi na ndumba hamlipati ng'o
katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... hata kwa mizizi na ndumba hamlipati ng'o
B Bugema ii Member Joined Apr 2, 2012 Posts 56 Reaction score 24 Aug 27, 2012 #4 CCM hawezi kulipata tena jimbo la kawe. kwa taarifa tu ni kwamba majimbo yote ya CDM hayarudi tena mikononi mwa wadhalim CCM
CCM hawezi kulipata tena jimbo la kawe. kwa taarifa tu ni kwamba majimbo yote ya CDM hayarudi tena mikononi mwa wadhalim CCM
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,694 Aug 27, 2012 #5 katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... we upo dunia gani eti? Bado umelala hamka mkuu!!!
katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... we upo dunia gani eti? Bado umelala hamka mkuu!!!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,140 Aug 27, 2012 #6 katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... Kwa kumsimamisha nani?
katesh said: 2015 ndio mwisho wake! Tunarudisha jimbo letu. Arudi kwa bwana wake nassari. Click to expand... Kwa kumsimamisha nani?