Hayati Nelson Mandela alifungwa kwa miaka 27!!!!! Siku moja ya mahabusu si lolote. Go go go Halima Mdeee. After all hao maafande ni kwamba wanalazimishwa tu kutekeleza siasa, uraiani tuko pamoja na ndiyo maana 2010 vituo vyao vya kura waliipa CCM si zaidi ya kura 10. Lugalo jeshini ikiwa ni mfano nambari moja, kura zote zilipigwa CDM?