Halima Mdee: 'Nimekula bata' rumande

Kauli kama hizi zinakuwa zimebeba maudhui yenye hisia kali kwa umma; yenye mlengo wa kufikisha ujumbe kwa dola dhidi ya uonevu unaofanywa na chama tawala. Tumekuelewa Halima Mdee pole sana!
 
Kweli mkuu
 
totoz kibao na zote madeo meter inasoma uh++++++++
 

kwa namna moja ama nyingine ni kwamba mdee kapata nafasi ya kukutana na raia walioko lupango na kaona maisha halisi ya huko bila shaka kaeneza sera za cdm kwa uzuri kabisa na kuwaweka wazi wahuni wa ccm jinsi wanavyo nyanyasa raia.
 

Karibu tena.

cc Haki sawa Chakaza FUSO karumbeta bosco makoi Chinga One
 
Last edited by a moderator:

naskia kapata wanachama wengi waliobakiza miezi 2 kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Ndio maana LEMA anapenda sana jela, kumbe wanapewa bata!

Akili zako ndogo sana ewe msukule wa ccm. Kwa hiyo unamaanisha alikula bata kweli? Kweli ccm imewafanya muwe na akili fupi. Wew hujui hata misemo, nahau ,wala mafumbo. Rudi darasani ukasome achana na siasa za ccm za ukilaza ewe msukule. Jikomboe kama hutaki kukombolewa na chadema/ ukawa
 
kwa namna moja ama nyingine ni kwamba mdee kapata nafasi ya kukutana na raia walioko lupango na kaona maisha halisi ya huko bila shaka kaeneza sera za cdm kwa uzuri kabisa na kuwaweka wazi wahuni wa ccm jinsi wanavyo nyanyasa raia.
Halima Mdee alikuwa sero siyo jela maisha ya jela unayajua wewe, huko sero ndiyo alikula bata kutoka kwa nyampara.
 

Kwahiyo na wewe unaliwa bata? Si msemo tu!
 
CCM wasimcheke Kagame kwa kukandamiza haki za wanyonge
 
mmm.....
 
nimezunguka Tanzania nzima kila nilipoenda kwenye kota za askari wa magereza nimekuta wanafuga bata
 
Ikitokea wana-JF tukapewa vipaza sauti halafu tuongee tunayoandika,baadhi tutafariki kwa kucheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…