Kila kitu IT, kumbe Lowassa kuingia UKAWA ni IT.IT Masaaki,au?
Utaelewa tarehe 25 OctoberMbona naona maluwe luwe, sijaelewa kama hii ni mada au nini.
Mbona naona maluwe luwe, sijaelewa kama hii ni mada au nini.
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
Kumbe ampumui. Mlizoea kukaririshwa na kufuata vitu kwa mkumbo tu. Na bado.Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
Subiri kiyama yenu taerhe 25 October ndio mtafahamu kuwa vinavyo elea viliumbwa.Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu..
Hata mm naunga mkono hoja, bora apigwe ban hata ya siku 15.. maana inakuwa kero sasa
IT Masaaki,au?
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
Hivi kumbe LOWASSA ni fisadi ehn? sasa mbona mnamwacha anadunda na anawapeleka puta namna hii kwanini msimpeleke tu mahakamani mkapumua?
VIVA UKAWA!!!