Leo umeandika kama FaizaFoxy
Dhuluma ...hiz Mungu yu pamoja nas....
Ewe msukule Dhuluma iko wapi? Na wajepewa adhabu ungesema nin?
Huu uandishi unaumizwa kichwa kusoma!Kesi ya iliyofungulia zidi ya Halima Mdee Mwenyekiti wa Bawacha Taiga ambaye ni Mbunge wa Kawe Jana aliibiwa serikali na kufutiwa kesi iliyofunguliwa na serikali ikidai walifanya mkusanyiko bila Kibali.
NB: Niwakati sasa wa kesi za kipuuzi kufutwa na kuacha kubambikia kesi za watanzania wasio na hatia kisa ni wapinzani.