Unawaandalia mazingira magumu wanaokufuata ni kama ambavyo mwenyekit wa ccm analia na makinikia kuna watu waliharibu ila wewe mnufaika wa huu mfumo mchafu huwezi kuona baadae wanao watasaga meno..wacha afungwe tu, amezidi kuropoka!
Wewe ni mtanzania halisi kabisa.wacha afungwe tu, amezidi kuropoka!
Halima kanenepa!
Sasa kama ni ujinga kihere here gani kilichokufanya kudandia!Nyie ni mtaji wa CDM endeleeni kutumika,Hizo mahakama anazozisemea huyu zikiwapa haki nyinyi zinakuwa zinatenda haki ila zikitenda haki kwa upande wa serikali mahakama zinaingiliwa lini mtaachaga tabia za kindumilakuwili!Tumia akili kidogo wajinga wengi ni mtaji wa ccm hili sio jukwaa la mahusiano.
Sasa kama ni ujinga kihere here gani kilichokufanya kudandia!Makarai ni mtaji wa CDM endeleeni kutumika kama kondom,Hizo mahakama anazozisemea huyu mume wa naniliu zikiwapa haki nyinyi zinakuwa zinatenda haki ila zikitenda haki kwa upande wa serikali mahakama zinaingiliwa lini mtaachaga tabia za kindumilakuwili!
Hajala hela ya ulipo tupo?Kwa kuwa hali vyakula vya pesa za rushwa.