Hayo ndio maswala ambayo ccm inayaogopa sababu ya maovu Yao waliyokwisha kuyatenda na wanayoyatenda na wanayoyaazimia kuyatenda.ccm wanatamani sana Watanzania waendelee kuwa wajinga wapumbavu,masikini ili uwe mtaji wao wa kutukandamizaadai wataandamana hadi kieleweke na wataendelea kutoa elimu kwa raia hadi kila mtu atende wajibu wake.
Damn, wameshakula umeme wao.
mpaka saa tano usiku si nitazimia mie bila mwanga.
ngoja nitafute njuka mmoja akaniletee mafuta ya taa ya sh mia hivi na ushee!!
ahh kuku wa chakonichako babu wanahusika saaaaaaaaana:happy:
halima mdee umetutia aibu cdm kwakuwa hauna msimamo wewe muoga alwayyyyyyyyyyyyyyyyyyys
Halima Mdee una Chupa moja ya Wine hapa CHUCHU BAR pembeni ya CBE-Dodoma!
halima ni mbunge seriasi .... Waambie hadi wakuelewe!!!!!!!!!!!