Halima Mdee atoa wito wa kumsaidia LULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee atoa wito wa kumsaidia LULU

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KIM KARDASH, Apr 18, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mhe.Halima mdee anasema...

  Watz wenzangu,mimi na mheshimiwa Bulaya tulikwenda kumuona Lulu O'bay Police.She really needs our support.

  Kwanza she is only 17...

  Pili anahitaji sana Psychological support.Nawaomba watu wenye taaluma hiyo wasisite kwenda kumuona.Wasiliana na 0714-282527 Steve Nyerere

  Tatu anahitaji wanasheria makini wa kumsaidia.Kwa yeyote ambae yuko tayari naomba awasiliane nami 0759-569823..

  Nne at that tender age ndio alikua anategemewa na familia.Now yuko ndani matatizo yamezidi kuwa makubwa.

  Kwa yeyote anaeguswa,naomba atume chochote kwenye 0754-878890 ni namba ya m pesa ya mama yake,tumsaidie huyu mtoto!
   
 2. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee (pichani) amekiri kwamba kuna baadhi ya watu waliopinga au kutofautiana nae baada yakutangaza uamuzi wa kumsadia mwigizaji LULU ambae sasa hivi yuko gerezani SEGEREA kwa tuhuma za mauaji ya mwigizaji STEVEN KANUMBA.
  Amesema "kitu ambacho nimefarijika ni kwamba kama kuna watu 50 wanaotoa comments basi arobaini zitakua zinasupport, na 10 zitaponda na ni kitu ambacho ni cha kawaida sana kwa sababu kila mtu anatafsiri kivyake"

  Halima amesema "kweli nimeguswa sana na msiba wa Kanumba, kilichonifanya kwenda kumuona Lulu akiwa chini ya ulinzi wa polisi na nikakutana pia na mama yake nikajua kwamba inawezekana kabisa kuna upande wa pili wa hadithi ambao unahitaji sauti yake kusikika kwa sababu wengi katika hatua za mwanzo tumemuhukumu sana ikizingatiwa kwamba ni mtoto mdogo, nikashawishika tu kwenda kutaka kujua kwa sababu na mimi nilikua simjui, namsoma tu kwenye magazeti"

  Kwa kuamplfy zaidi, Mdee amesema "siwezi kusema kwamba hajafanya kosa, hapana kwa sababu hakuna mtu aliekuepo zaidi ya hao wawili na pia nikagundua kwamba ni mtu ambae ana uhitaji sasa hivi hasa ukizingatia umri wake, kumbe pamoja na utoto wake familia yake ndio ilikua inamtegemea yeye, tunajua kesi kama hizi ambazo zina presha kubwa sana ya umma, tunaweza kujikuta kwamba ule ukweli halisi ambao ungeweza ukajulikana unaweza kuzuiwa kujulikana kwa sababu ya presha ya Umma"
  "Kimsingi sitaki kulizungumza sana hili ili nisiingilie maswala yanayoendelea mahakamani lakini tulivyoenda bahati nzuri walikuwepo hata baadhi ya maofisa wa polisi ambao walisema kabisa kwamba jana yake Lulu alipelekwa hospitali kuchunguzwa kama vile vipigo alivyokua akipewa viliweza kumuathiri ndani, kwa maelezo yake yeye ni kwamba alikua anapigwa kwa ubapa wa panga"
   
 3. R

  RON PAUL Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mlimsikia huyu dada lakini.............??????????????

  Un-vote
  [​IMG]
  "CHADEMA yageuza kifo cha Kanumba kuwa vita kati yao na CCM" - Mange

  Angalia picha mwisho wa stori kuona tweet za baadhi ya wabunge wa CHADEMA
  Wow, just unbelievable…..yani nimekaa hapa nasoma hizi tweets za hawa wabunge wa Chadema nimetamani hata kulia, I mean how the hell did such narrow minded people even get elected??


  I mean when did this turn into a popularity contenst kati ya CCM na CHADEMA? Eti kisa JK kaenda msibani jana? Guys JK apart from being the head of state yeye alikuwa anafahamiana na Kanumba vizuri tu yani.

  Eti wabunge wa Chadema wameamua wao kazi yao itakuwa ni kumtoa LULU jela, kumpa msaada wa kisheria wakidai kwamba LULU ni mtoto…Eti na Zitto ana tweet kabisa kwamba he has a copy of Lulu’s birth certificate showing kwamba she is 17 and therefore a child, and ana brag kwamba keshaongea na wakubwa wa polisi na kwamba watamsaidia Lulu… na Halima Mdee anadai kwamba yeye ni mwanasheria so keshaenda kumuona Lulu kama mwanasheria na yoyote anaeweza kuchanga atume pesa kwenye number yake ya simu…WTF???????

  Eti some Chadema followers wana tweet kwamba nyie si mnaenda msibani sie tunaenda polisi kumtoa LULU….

  Zitto Kabwe, Halima Madee and the rest of Chadema MPs naomba niwaambieni hili. YOU ARE ON THE FREAKING WRONG SIDE…...

  Hivi hata kama mnataka kumsaidia Lulu don’t u think its insensitive kwa familia ya Kanumba na watanzania kwa ujumla kuongelea hili hadharani? Especially sababu Kanumba hata bado hajazikwa? Hivi Zitto au Halima Kanumba angekuwa ni ndugu yenu would you be doing the same thing?


  Why am I telling you you are on the wrong side? Kanumba is Tanzania’s sweetheart, he is loved, kusini na mashariki mwa Tanzania, people are angry and they want to see justince, do you think nyie kujiweka mbele mbele kumtoa the ONLY PERSON, who can tell Tanzanians what happened to Kanuamba will win you any votes in 2015? Tanzanians won't forget, I can promise you that?

  Zitto huko Kigoma, wananchi wako hawaangalii movie ingine yoyote zaidi ya movie za Kanumba, unadhani kusimama kidete kumsaidia Lulu is the way to go?

  We all want to see justince done……whatever happened, hakuna anaesema LuLu kamuua Kanumba but she is the last person to see him alive, let her tell us what happened to him. Nyie mnavyompa ma confidence haya mnadhani atakuwa mkweli? Mnavyompa moyo kuwa yeye ni mtoto so hawezi kuface sheria kama mtu mzima mnadhani atasema anachokijua?

  Mie I strongly believe she is not a killer, she didn’t mean to kill him, but somehow I belive she was used unknowingly…..

  Zitto unadai una birth certificate ya Lulu, birth certificate bongo????? Kama unataka dare any u-turner humu and by tomorrow evening they can produce an original birth cerficate from RITA saying that Lulu is 30 yrs old…

  Umeangalia hizo video hapo chini za LULU mwenyewe akidai she is 18? And that was last yr.which makes her 19 this yr, why would she lie about this? Do you know she threw a huge birthday bash last yr for her 18th birthday???

  Halima Mdee you are a lawyer so naamini unaijua sheria zaidi yangu, unavyosema kuwa Lulu ana majeraha una maanisha nini?kwamba Kanumba alimpiga? unajua kwamba mdogo wa kanumba anashangaa kusikia kwamba Lulu ana majeraha? CHADEMA BE CAREFUL BEFORE ATTEMPTING TO TURNISH KANUMBA'S IMAGE FOR THE SAKE OF KEEPING YOUR NAMES IN THE MEDIA........

  CHADEMA, mnapoteza credibility kwa wananchi. Watanzania just lost their sweetheart,nyie mmekalia kupigana vita na CCM…not everything should become political jamani….this is too big for you.

  Let the police do their work.

  Also naoa mna mention sana Jokate kwenye tweets zenu na kumshukurua kwa msaada wake kwa Lulu…Jokate mdogo wangu don’t let stupid girl fights allow you to let yourself be used by greedy politicians. Just because Wema anashinda kwenye msiba wa Kanumba doesn’t mean na wewe ni lazma ukashinde Salender na Lulu…#just saying…

  Wabunge wa Chadema mmenisikitsha mnooo.....is this why mlichaguliwa kwenye majimbo yenu? lol?
   
 4. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Wewe Una issue zako, ofcourse sijui ni kwa nini wanaaingilia Haya, nisingeshauri, ila haki or justice itatendeka, hawaendi kumtoa lulu kimabavu, wanampa Msaada Wa kisheria, Jambo ambalo sioni ubaya wake Hata Kidogo.
   
 5. N

  Nguto JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  I think this is all bullshit!! She had it coming on her!! She has to get out by herself. Mtoto mdogo mambo makubwa halafu wanasema utumbo. Lulu ametimiza msemo kuwa asiyesikia la mkuu huvunjika guu!!! Halima ameona picha za lulu ambazo yuko uchi?? Let us talk something creative and leave this lulu business to the mahakama.
   
 6. t

  thandiswa Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ni jinsi gani inadhihirika jinsi lizy alivyokuwa anatumiwa km kitega uchumi na wazazi wake,mama yake na baba yake mbona bado wana nguvu kabisa ya kuweza kufanya kazi au biashara kwanini tunashadadia mambo ya kijinga hivi?mimi c muumini wa magamba but alichoongea Mange hapo juu mimi namuunga mkono. tuache ushabiki na kuingiza siasa kwenye haki ya mtu hivi Mama kanumba mnamfikiria?Halima hajui uchungu wa kuzaa na zaidi Mama K ndio kafiwa ilibidi kumfariji ktk kipindi kigumu km hiki,
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa vyovyote vile Halima Mdee ana ajenda ya siri kuhusiana na Lulu, si bure. Time will tell.
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hii imekaa kama scam vile, pili, mimi namsaidia kwa kupeleka hii video mahakamani

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. t

  thandiswa Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona hii?kuna kitu c bure,wazazi wake walishindwa kusimamia maadili ya mtoto wao leo hii wapewe na hela juu,hivi hawa wabunge wanaota au?wasituletee siasa zao za maji taka bungeni kunawatosha. wao wanasema lizy ni mdogo alitokaje ucku huo wote?mtoto anavaa uchi walikuwa wapi cku zote tulizokuwa tunapiga kelele mtoto anapotea acheni kutafuta umaarufu,acheni mahakama ifanye kazi
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Dada halima mi napendaga sn mambo yako ya siasa naweza sema nakuiga,. Ila kwa hili la kulu umeteleza,. Lulu anamambo machafu kwa mda mrefu hakuna asiejua, je kwanini hukumfata na ku,wonya? Ni mabinti wangapi wanatabia ka za lulu utawaonya ili kuzuia mazara km ya lulu yasitokee?
   
 11. m

  mariavictima Senior Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halima Mbunge wangu, huwa nakupenda sana na pia ku-admire jinsi ulivyo strategic. Ni bahati mbaya sana kuwa kwa hili la Lulu tutatofautina sana. Huyu mnayemuita mtoto lakini anayefanya mambo ya kikubwa anastahili kufunzwa na ulimwengu maana wazazi walishindwa. Story za nyuma za huyu mtoto ni za kusikitisha na zinatia kinyaa. Kipindi hicho ndio ulitakiwa ujitokeze kumsaidia na kama ungefanya hivyo haya yote yasingemkuta. Mimi nadhani tuache sheria ichukue mkondo wake ili ajifunze kutokana na hili na limsaidie kujirekebisha.
   
 12. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Hayo mengine yanawezekana isipokuwa hapo kwenye red pamekaa vibaya. Nimemuona mama yake Lulu kwenye vyombo vya habari ni mama mwenye nguvu za kutosha kuweza kutafuta mahitaji ya familia yake. Hii omba omba inayotangazwa sioni mantiki yake. Hii inadhihirisha ndiyo sababu alishindwa kumuonya mtoto wake na kumuacha aingie kwenye ufuska akiwa mdogo ili tu yeye apate riziki.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Great Thinker indeed!!.....
   
 14. A

  Amelie Senior Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mbuge hana akili,kweli minor ategemewe na familia yake yeye anaona sawa,eti mama yake achangiwe.Aisee,mimi ninavyojua wazazi ndo wanapaswa kutegemewa na watoto wao.
   
Loading...