Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Wewe mtutsi hii mbinu yako ya kujaza international forum na habari za kitanzania tumeishaishtukia. RWANDA ITAJADILIWA TU!
 
Hatari sana kumkwaza kiongozi wa watu. Alisema Jaji Msumi kwe kesi ya Mrema. Mema bado yupo uongozini baada ya miaka 20
 
 
Wewe mpanda mbegu za chuki huna jipya zaidi ya ugaidi. Yule mtu mliyemmwagia tindikali kule Igunga siku hizi husafiri naye tena ili kumnadi katika jitihada zako za kupandikiza chuki!?

Bora wamtoe maana jana amewasaga wenzake usiku kucha atokee tu loo
 
Ila hakujipeleka ili afungwe na sio kwa sababu za kijinga hivi.


Sababu zilikuwa ni hizi hizi kudai haki na kuhakikisha inapatikana ,tofauti yao ni kuwa Makaburu wa Afrika ya kusini walikuwa weupe na Makaburu wa huku kwetu Tanzania ni weusi ila tabia/vitendo na mawazo yao yanafanana-KUTAWALA.
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…