Umesomeka:
- BAWACHA haina mwenyekiti,
- Halima Mdee hana mume wala mtoto hivyo hawezi kuwa kiongozi wa akina mama,
- Wachache Chadema wana kawaida ya kuwachagulia wanachama viongozi.
Kwa maana hii hiki siyo chama cha siasa ila ni kikundi cha wajanja wachache tu.
Wewe ni msaliti mkubwa umetumwa na zito!!!???Maigizo ya Halima Mdee kuchukuliwa fomu ya kugombea BAWACHA ni ya hatari sana kwa CHADEMA. hiyo ni njama tu ya kutaka chama kinakuwa mikononi mwa watu walewale wa kulekuleee. kwanza Halima bado ni kijana kuliko mwanamke. hatujui kama hata amekwisha kuolewa wala kama ana mtoto. Kwa haiba hiyo tunadhani hafai kuwa mwenyekiti wa BAWACHA.
Ninaheshimu sana uwezo wake wa uongozi kama mbunge na uwezo binafsi wa uongozi. lakini nadhani asinge kufustrate chama kwa nafasi hiyo. nimetumia neno ku frustrate kwa sababu chama kitakuwa kinakumbuka kilichotokea uchaguzi wa bawacha uliopita. wakati chama kilikuwa kinataka kuwapitisha akina Grace Kihwelu, wajumbe hawakuwa wanataka kuwachagua.
kwa kweli hicho ndicho kilisababisha uchaguzi kufutwa na muda wote BAWACHA haikuwa na mwenyekiti. hata leo, mgombea yeyote ambaye ni Mbunge hatachaguliwa katika nafasi hizi.waacheni wamama wengine kama Sophia Mwakagenda au Anna Mughwira wawe viongozi badala ya kutaka kujishindilia vyeo juu ya vyeo.
Mkuu Plato, kwanza asante kwa angalizo lako!, sifa kuu ya kuwa mwanamke sio umri, sio kuolewa bali ni jinsia!. Mtoto akiishazaliwa na jinsia ya kike ni mwanamke, huitwa mtoto wa kike!, kijana wa kike, kwa maana ya msichana, pia ni mwanamke!. Uanamke wa mtu ni jinsia yake, na sio kuolewa, au kuzaa watoto!, kuolewa ni bahatu tuu na kuzaa ni majaaliwa!.Maigizo ya Halima Mdee kuchukuliwa fomu ya kugombea BAWACHA ni ya hatari sana kwa CHADEMA. hiyo ni njama tu ya kutaka chama kinakuwa mikononi mwa watu walewale wa kulekuleee. kwanza Halima bado ni kijana kuliko mwanamke. hatujui kama hata amekwisha kuolewa wala kama ana mtoto. Kwa haiba hiyo tunadhani hafai kuwa mwenyekiti wa BAWACHA.
Ninaheshimu sana uwezo wake wa uongozi kama mbunge na uwezo binafsi wa uongozi. lakini nadhani asinge kufustrate chama kwa nafasi hiyo. nimetumia neno ku frustrate kwa sababu chama kitakuwa kinakumbuka kilichotokea uchaguzi wa bawacha uliopita. wakati chama kilikuwa kinataka kuwapitisha akina Grace Kihwelu, wajumbe hawakuwa wanataka kuwachagua.
kwa kweli hicho ndicho kilisababisha uchaguzi kufutwa na muda wote BAWACHA haikuwa na mwenyekiti. hata leo, mgombea yeyote ambaye ni Mbunge hatachaguliwa katika nafasi hizi.waacheni wamama wengine kama Sophia Mwakagenda au Anna Mughwira wawe viongozi badala ya kutaka kujishindilia vyeo juu ya vyeo.
Maigizo ya Halima Mdee kuchukuliwa fomu ya kugombea BAWACHA ni ya hatari sana kwa CHADEMA. hiyo ni njama tu ya kutaka chama kinakuwa mikononi mwa watu walewale wa kulekuleee. kwanza Halima bado ni kijana kuliko mwanamke. hatujui kama hata amekwisha kuolewa wala kama ana mtoto. Kwa haiba hiyo tunadhani hafai kuwa mwenyekiti wa BAWACHA.

Mkuu Plato, kwanza asante kwa angalizo lako!, sifa kuu ya kuwa mwanamke sio umri, sio kuolewa bali ni jinsia!. Mtoto akiishazaliwa na jinsia ya kike ni mwanamke, huitwa mtoto wa kike!, kijana wa kike, kwa maana ya msichana, pia ni mwanamke!. Uanamke wa mtu ni jinsia yake, na sio kuolewa, au kuzaa watoto!, kuolewa ni bahatu tuu na kuzaa ni majaaliwa!.
Halimaa just go!, go!, go!.
Thanks.
Pasco.
Pasco,
Umemjibu vyema huyu Mwendawazimu na siasa zake za majitaka
Hebu fuatlia thread yake ya Mwisho Uone.Ndio siasa zake
Chadema ina program nyngi mno karibuni,nafasi lazima ziende kwa mwenye uwezo na si kugawa.Halima ni jembe.
Maigizo ya Halima Mdee kuchukuliwa fomu ya kugombea BAWACHA ni ya hatari sana kwa CHADEMA. hiyo ni njama tu ya kutaka chama kinakuwa mikononi mwa watu walewale wa kulekuleee. kwanza Halima bado ni kijana kuliko mwanamke. hatujui kama hata amekwisha kuolewa wala kama ana mtoto. Kwa haiba hiyo tunadhani hafai kuwa mwenyekiti wa BAWACHA.
Ninaheshimu sana uwezo wake wa uongozi kama mbunge na uwezo binafsi wa uongozi. lakini nadhani asinge kufustrate chama kwa nafasi hiyo. nimetumia neno ku frustrate kwa sababu chama kitakuwa kinakumbuka kilichotokea uchaguzi wa bawacha uliopita. wakati chama kilikuwa kinataka kuwapitisha akina Grace Kihwelu, wajumbe hawakuwa wanataka kuwachagua.
kwa kweli hicho ndicho kilisababisha uchaguzi kufutwa na muda wote BAWACHA haikuwa na mwenyekiti. hata leo, mgombea yeyote ambaye ni Mbunge hatachaguliwa katika nafasi hizi.waacheni wamama wengine kama Sophia Mwakagenda au Anna Mughwira wawe viongozi badala ya kutaka kujishindilia vyeo juu ya vyeo.
Mkuu Plato, kwanza asante kwa angalizo lako!, sifa kuu ya kuwa mwanamke sio umri, sio kuolewa bali ni jinsia!. Mtoto akiishazaliwa na jinsia ya kike ni mwanamke, huitwa mtoto wa kike!, kijana wa kike, kwa maana ya msichana, pia ni mwanamke!. Uanamke wa mtu ni jinsia yake, na sio kuolewa, au kuzaa watoto!, kuolewa ni bahatu tuu na kuzaa ni majaaliwa!.
Halimaa just go!, go!, go!.
Thanks.
Pasco.
Ben,
Na wewe siku hizi umekuwa na mdomo wa kufyatua makombora ya matusi? nini kimekukuta? bado umelewa majonzi ya kuenguliwa bavicha na vihela ulivyounguza?
on the serious note! hujamwelewa pasco.maana ameona na kupongeza angalizo langu.lipi hilo, kuwa hawa akina halima, kiwhelu ndo walisababisha uchaguzi uleee ukafutwa maana walipigwa chini na wajumbe wakati wasimamizi wa uchaguzi walitaka wao ndo wapite. nikasema hata this time hawatapita.
nimesema haya mambo ya mtu kuchukuliwa ni maigizo.na pasco hakuliongelea,which means ana concur na mimi (kwi kwi kwi), bali ameleta observation ambayo hata hivyo nami nimeiweka juu ya kuwa uwezo wa halima hauna shaka. the issue ni prudent judgement tu kuwa asingepaswa kugombea hapo. tunza maneno haya, tujadili baada ya uchaguzi.
Pasco huwa unatoa coment murua inapokuja kwenye suala la wanawake....Mkuu Plato, kwanza asante kwa angalizo lako!, sifa kuu ya kuwa mwanamke sio umri, sio kuolewa bali ni jinsia!. Mtoto akiishazaliwa na jinsia ya kike ni mwanamke, huitwa mtoto wa kike!, kijana wa kike, kwa maana ya msichana, pia ni mwanamke!. Uanamke wa mtu ni jinsia yake, na sio kuolewa, au kuzaa watoto!, kuolewa ni bahatu tuu na kuzaa ni majaaliwa!.
Halimaa just go!, go!, go!.
Thanks.
Pasco.