Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

Huu upuuzi sasa mwisho mtamuanbia aweke wazi mambo yake ya nyumbani kwake....acheni atumbue majipu sio kutafta tu kiki au mada isiyo na tija
 
Yeye ni head of state akiamua kuwa mhuni anaeza na maisha yakaenda...

Amekuwa muungwana naona ss kama wanamuingilia kwa personal issues baaana hata mie siezi taja revenue zangu kwa public..

Just thinking
 
Akiweka na posho za kijikimu Rais Magufuli anakunja zaidi ya 30M,aache kudanganya watz kama yy eti ni socialist wkt si kweli
Hebu soma Danya #79
Kakujibu vizuri tu.
Halima anapata posh 7M Na Mshahara 3M anawakilsha Watu 2M
Jumla 10M /2M=5 shilingi kila mwananchi wa Kawe anamlipa bi domo.
Sasa JPM anapata hizo mnazosema
34M/47M WaTanzania =.72 senti kilamtanzania anamlipa JPM senti .72
Bi Domo anafanya nini kwa Tanzania tumlipe shilingi TANO kila mwezi?
Kuanzi Leo avatar yake iwe
Mafala yaleeee
 
Aseme ukweli sasa!
Anadanganya wasio watumishi wa UMMA ambao hawajui!Hata alipwe Milion 100 aseme kweli lkn

Mshahara ni component ndogo mno ya net pay!Ataje Net pay hapa kama kujinasibu kwake na u socialist watu hawatamgeuka!

Kwa 9.5 kama mshahara,projection inaonyesha akiweka na marupurupu yote huyu anakunja zaidi ya 30M

Socialist anayependa yy tu ndiyo alipwe vyema!
 
Wakati mzee mkapa anawaita malofa na wapumbavu walikuja juu....sasa mnaona kumbe alikuwa hajakosea
 

Siamini kama Kamanda Mdee anaweza kutoa hoja nyepesi kama hii. Ina maana Chama changu kimekosa mambo mazito na ya maana tuliyozoea kuyasikia enzi zile kabla ya akina Lowasa? Kama ni kweli hili kalisema, basi naamini Lowasaaaaaaa!! MABADILIKO.
 
Na pia kuwa kwa sasa nimarufuku kuweka picha za Noel wala kupiga kwaya kwenye ofisi za serikali Magu ndiyo kasema.
Dr dau anachangia ujenzi wa hilo kalavati la kigamboni halafu anapiga hela mara mbili ya hiyo nyambafu
 

Huyu kamanda sasa naona amekosa hoja. Kweli rais Magufuli anaimaliza ukawa polepole. Mhe Halima Mdee ukijua hizo posho rais itakusaidia nini kwani ziko kikatiba?
 
Huyu kamanda sasa naona amekosa hoja. Kweli rais Magufuli anaimaliza ukawa polepole. Mhe Halima Mdee ukijua hizo posho rais itakusaidia nini kwani ziko kikatiba?
Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingi
 
Halima kwa hilo sioni kama lina mashiko sana! Tujipange kwa hoja za maana! Suala la mishahara ni pana sana na posho zake! Utumishi ndio wanatakiw ku review kama kuna shida imeonekana! Pia tusilinganishe serikali kuu na agencies za serikali mfano TRA TPA etc: iwe ajenda kuu ya kuijadili!
 
Hata mie namshangaa, kuna kipindi nilikuwa nampenda lkn siku hizi naona analipuka tuu bila hoja za msingi
Msukuma alitowa hoja Bungeni kwamba BANGI Na MIRUNGI zi halalishwe.Na mnukuu."katika bunge lako tukufu kuna vigogo wengi tu wanatumia BANGI Na wako powa tu"
Msukuma sio kweli Halima domo BANGI inamzuru.
 
Wapinzani wasiwe wanaota alichana Mambo yanawekwa katika mstari.Overhaul ya nchi na system Mh.Raisi anaendelea na kazi yake ya kuikarabati Tulieni watu tuheshimiane.Hapa hakuna huyu fulani namjua fulani subiria kidogo au peleka kimemo Sasa hivi ni Sheria na Kanuni kwenda mbel.Na watu watajifunza Nidhamu ya Pesa
 
Aliyeanzisha mada hii sio wananchi,wala wabunge;raisi mwenyewe anayependa sifa ndio alianzisha mjadala huu akithani watu mafala.
Raisi anapewa 36M kwa mwezi mkuu na anajengewa nyumba anakotaka na kulisha,kuvishwa na kulindwa maisha yake yote.
Huoni kuwa anastahili kwa kazi anayofanya. Actually anastahili more siyo hawa kina KHalima Mdee wanaokazania taarab ndani ya Bunge mara watoke nje ili mtradi hopeless huku majimbo yao yako hoi. Atueleze kwanza kawafanyia nini wananchi wa KAwekabla hajaanza kuuliza marupurupu ya Rais ambaye halali kwa ajili ya wananchi wake!
 
Huyu Mama angekuwa anawaheshimu hao waliokuwa wanamsikiliza angenza kwa kutaja mishahara, posho na marupurupu ya viongozi wake...then ataje mshahara, marupurupu na mshahara wake yeye, kisha ndio aombe na Raisi ataje za kwake.
Tena wasubiri panga lao. Wala hamna cha maana wanachokifanya zaidi ya kumatch nje kila siku! Kwa kweli kwa sasa hawana hoja!
 
Jamani yaani big up! KamaRais Mh. Magufuli alivyotuambia ni hesabu rahisi tu fanya cross multiplication kama ulivyofanya atoke kule sisi tunachotaka ni maendeleo. Ngoja nasi wananch tuwavalie njuga wabunge wapunguziwe maslahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…