assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Interview ya nini?
Hivi kwa akili yako Halima anaweza kukimbia mahojiano? Amwogope nani kwa mfano? Yupo bize na kampeni..Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.
hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani
Tazama startv hivi sasa
Interview ya nini?
RIP Mtoi ...
Janet wa ACT anajimudu
Hicho kituo ni Ngome ya Ccm,sikipendi sn.....
Acha siasa!
Halima amepata msiba mkubwa.
RIP Mtoi 🙏🏽
Leo kulikua na interview startv asubuhi
waalikwa
jafo ccm
mgombea act kawe
kingwendu
halima mdee.
hadi kipindi kinaanza 7:30 halima mdee haonekani
Tazama startv hivi sasa