Halima Mdee aachiwa huru

Wananchi si wajinga hatutaki katiba ya watawala tunataka katiba ya wananchi.
Katiba iliyotengenezwa Dodoma si ya wananchi bali ni ya chama tawala.
Ni jukumu letu wote kuipinga hii katiba inayolinda masilahi ya watawala badala ya wananchi.

Wewe una akili gani?
 
Polisi wanalipwa laki mbili tu bado hawajitambui hivi wakiongezewa mshahara je....

Hawa ni viumbe wa ajabu sana, isikute ccm imewakamata ufahamu!, walivyo na dhiki ya kuhongwaa elfu mbilimbili huwezi amini wanavyopiga raia na wananchi wenzao for nonsense.
Huwa wanasingizia maandamano yenye vijana/wanaume kuwa yana silaha na vurugu . Hao wanawake nao walikuwa na vurugu na silaha gani kuwapiga hivyo! shame on them, wanaume wazima kuwapiga wanawake wanaoandamana tu? Kwani wangewakamata wakaenda kuwahoji kama kawaida yao ya kuhoji upinzani wangepungukiwa nini? Kama ni kauli za viongozi kuwa raia wapigwe, hebu ngoja siku moja tushuhudie familia zao, mama, baba, watoto wakipigwa tuone kama wataburudika.
 
Kwa kweli kwa ajili ya utulivu na amani ni muhimu maandamo yaruhusiwe na vyombo husika - laakini tatizo ni pale maadui wa demokrasia ndio wanachafua mambo kwa kuwanyima watu vibali kuandamana kwa njia ya amani. hili linafaa kuangaliwa
 
Police wa tanganyika waajabu kweli hawajui wafanyalo, wamelishwa unga wa... wasomaji wa tamthilia wataelewa
 
Hivi huyu Halima Mdee ana Mume kweli???
Ndio zetu wabongo, kuwaza waume/wake na dawa za kuongeza nguvu. Kuwa naye au kutokuwa naye kunalink vipi na kuchakachua katiba/maoni ya wananchi!?

 
Dalili ya Chama kinachokufa huanza kutumia dola kujilinda, huanza kufungulia kesi wanasiasa hasa wa vyama ya upinzani ili uwadhoofisha kisiasa - kifupi chama kinachokufa huwa hakijiamini kwa mambo yake yote kinayofanya pamoja na udandiaji wa hoja za wapinzani kutaka kuzitekeleza bila kuzifanyia utafiti wa kina.
 
Molemo,
Kwa heshima zote umekoleza rangi mno,haifai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…