Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,624
- 3,652
Nampongeza binti huyu kwakuwa bungeni haijalishi ataifanyia nchi yetu nini maana hata kua pale ni sio kazi ndogo.Punde kupitia TBC2 nimemuona huyu binti akichangia kwenye wizara ya afya.Anadai kwamba kuna mateja wengi hivyo wasaodiwe kule kwenye vituo vyao.Nilitegemea atawalaani wanaoingiza madawa,ataishauri serikali ipambane na waingiza madawa kumbe anadai mateja waboreshewe huduma.Kwamtindo huo hata hao wanaoingiza madawa wakikusikia watakupongeza huku mtandaoni. HALIMA TUMIA NAFASI VIZURI KIPINDI CHA MIAKA MITANO NIKIFUPI