Halima Bulembo tumia nafasi vizuri

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
2,624
3,653
Nampongeza binti huyu kwakuwa bungeni haijalishi ataifanyia nchi yetu nini maana hata kua pale ni sio kazi ndogo.Punde kupitia TBC2 nimemuona huyu binti akichangia kwenye wizara ya afya.Anadai kwamba kuna mateja wengi hivyo wasaodiwe kule kwenye vituo vyao.Nilitegemea atawalaani wanaoingiza madawa,ataishauri serikali ipambane na waingiza madawa kumbe anadai mateja waboreshewe huduma.Kwamtindo huo hata hao wanaoingiza madawa wakikusikia watakupongeza huku mtandaoni
 
Hako kabinti ni Mchepuko wa goodluck hana anachojua zaidi ya kukariri kile alichoelekezwa na Mchepuko wake.
 
Nampongeza binti huyu kwakuwa bungeni haijalishi ataifanyia nchi yetu nini maana hata kua pale ni sio kazi ndogo.Punde kupitia TBC2 nimemuona huyu binti akichangia kwenye wizara ya afya.Anadai kwamba kuna mateja wengi hivyo wasaodiwe kule kwenye vituo vyao.Nilitegemea atawalaani wanaoingiza madawa,ataishauri serikali ipambane na waingiza madawa kumbe anadai mateja waboreshewe huduma.Kwamtindo huo hata hao wanaoingiza madawa wakikusikia watakupongeza huku mtandaoni

Wewe ndo unajichanganya, kila michango inategemea na sehemu husika. Hii ni budgeti ya wizara ya afya, hayo unayoyasema ni majukumu ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Subiri ikifika zamu ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi ndo utoe maoni yako. Yeye alikua anatoa mchango wake jinsi ya kuwasaidia waliokwisha athilika na dawa za kulevya.
 
Nampongeza binti huyu kwakuwa bungeni haijalishi ataifanyia nchi yetu nini maana hata kua pale ni sio kazi ndogo.Punde kupitia TBC2 nimemuona huyu binti akichangia kwenye wizara ya afya.Anadai kwamba kuna mateja wengi hivyo wasaodiwe kule kwenye vituo vyao.Nilitegemea atawalaani wanaoingiza madawa,ataishauri serikali ipambane na waingiza madawa kumbe anadai mateja waboreshewe huduma.Kwamtindo huo hata hao wanaoingiza madawa wakikusikia watakupongeza huku mtandaoni

Hayo ndiyo matatiza ya kuridhishana vyeo vya kisiasa kama uzao wa kifamilia.
Yaani akifa au kustaafu baba au mama mbunge / waziri anapewa mtoto.

Political party succession plan at work!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom