Halihalisi

Tatizo watu wakiulizwa wanalipwa sh ngapi wanasema basic badala ya net pay less (transport to & from work, meals at work,air time voucher na loan repayment)
 
Nadhani na umasikini uliotuzunguka katika jamii, inapelekea mtu alie na kijibarua ndio awe tumaini la wote wanao mzunguka huku wakimfanyia estimation za ajabu huyo muajiriwa!
 
suti unazovaa kila siku ndio zinazofanya wafikiri hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…