Tunapishana timing ya kuivisha na kuvuna. Wao wananza kisha tunakuja sisi mwishoni mwa mwaka. So hata wanunuzi wanaanza kule west zikiisha wanakuja huku east.Kama wameanza kununua West Africa ina maana korosho yetu siyo first priority kwao ukilinganisha na zingine,
Kwa hiyo tuna kazi pia ya kuifanyia market korosho yetu ili when it come to choice kwa buyers waifikirie kwanza wizara inatakiwa ya kilimo inatakiwa kulishughulikia hili
Lakini kwa hali ilivyo sasa wakulima ili hali isije kuwa mbaya zaidi wakashangaa wanauza kwa bei ya chini zaidi kuliko ya sasa ni bora wakaiuza tu wasijekudhani bei itaimarika huko mbeleni
Hujui kwamb inatumia masaaUkimwi sio wa kuuogopa kiivyo! Wanausalimika wasiojua kusahau.
Nikirudi kwenye mada:-
Nilichoki quote kimepostiwa leo tarehe 24 rejea kisha uombe msamaha hadharani.
Si kam wew unavyokata uza bidhaa yako kwa sababu za kimaslaiLeo tarehe 24/10/2018 umepigwa mnada mkoa wa Lindi ndani ya wilaya nachingwea katika chama kikuu cha RUNALI (Ruangwa,Nachingwea na Liwale) bei ya juu ni 2656 na bei ya chini ni 2200 ,nako wakulima wamegoma!!!!
Hivi wakishagoma kinafuata nn??
Nipo pamoja nawe kuwatakia wakulima kila la kheri.Hujui kwamb inatumia masaa
Ungerud nyuma kimasaa ungejua ilikuw lin
Ila taarfa ndio hyo boss
Vipi wananchi wamekubaliana na hali hiyo au wameendelea kugoma.New update Lindi leo tarehe 25/10/2018
Mnada wa korosho leo lindi mwambao Bei ya juu 2400/- na ya chini 1950/- makampuni 15
Naomba kuwasilisha
New update Lindi leo tarehe 25/10/2018
Mnada wa korosho leo lindi mwambao Bei ya juu 2400/- na ya chini 1950/- makampuni 15
Naomba kuwasilisha
Hahaha naona wanataka kukubali bei niniHata mdimba - newala pia upo mnada wa dharura ngoja kesho tutaona vp