Ccm zanzibar ni sawa na Burma military juntas au Baath parties siasa zake tunaona syria na iraq na nini nchi hizo katika matope sasa . Hali yao ni sawa sawa na Juntas ya ccm znz kujiona wao ndio wenye hat miliki ya visiawani japo hawatakiwi
Tuangalie kwa mapana hii revolution juntas watatupeleka kubaya