Jinga kabisa, hivi mpuuzi na mzushi kama wewe anaweza kuwa mwalimu kweli? Basi sekta ya elimu imeoza kama usemavyo. Kwanza Kiswahili chenyewe hujui; mf. SEREKALI badala ya serikali. ELA badala ya Hela! Huko shule unafundisha vitu gani ww au kuna somo la UZUSHI limeanzishwa? Halafu eti unadai malimbikizo, kwa wewe usilipwe tu hata hustahili. Kwanza sina shaka kwamba vyeti ulifoji.