Nimeona ule uamuzi wa kuvifungia viwanja kwenye mzunguko wa pili VPL umeleta mabadiliko chanya. japo sijafika, angalau pitch ya Sokoine Stadium Mbeya - uwanja wa nyumba wa MCC na Prison, unapendeza. Sijasikia tena malalamiko toka kwa kocha wa timu pinzani.
Nawashauri TFF wakazanie hilo. Ikiwezekana, iwepo sheria/kanuni kwamba uwanja wowote wa timu ya VPL lazima ukidhi viwanjo vya CAF.Kinyume cha hapo timu itafute uwanja mwingine.