Hapa muhimu ni kuthibiti haya makundi ya wahamiaji haramu kutoka nchi za Somalia, Ethiopia nk. hao jamaa wanakuja huku wakiwa na Culture tofauti na za huku kwetu.
wao wamezoea kuuana kama jambo la kawaida tu, sasa tusiache mbegu zao ziendelee kukua hapa nchini kwetu, zitaenea kama magugu maji yalivyosambaa juu ya ziwa Victoria.
yataifishwe magari yote yanayobeba hawa watu, wamiliki wa haya magari pia wakamatwe na kufunguliwa mashtaka, tuache kucheza na ngedere kwenye shamba letu la mahindi tutavuna mabua.