Hali ya umeme Njombe ni tete.

Hali ya umeme Njombe ni tete.

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
4,043
Reaction score
1,012
Jamani ndugu zangu wa Tanzania hali ya umeme ni tete hapa Njombe mkoa mpya kwa jina, umeme unakatwa mara kwa mara pasipo hata taarifa kwa watumiaji. Hivi sasa wamekata umeme na hatujui hatma ya huu ukataji wa leo ni nini? Hivi kuna kupata maendeleo hii nchi? Umeme bei juu bado unakatika katika, tena bila taarifa. Jamani CCM na serikali yake ni balaa tupu.
 
walianza siku za sikukuu kumbe bado wanaendelea? tutaandamana muda si mrefu
 
Lisaa limeisha, maisha bila umeme yanawezeka nadhani ni kauli ya ccm
 
Jana kikwete anawaambia mabalozi eti tanzania imefanikiwa kupunguza mfumuko wa bei hakumbuki mwaka 2005 sukari,gesi, umeme bei ilikuaje na sasa?
 
Jamani ndugu zangu wa Tanzania hali ya umeme ni tete hapa Njombe mkoa mpya kwa jina, umeme unakatwa mara kwa mara pasipo hata taarifa kwa watumiaji. Hivi sasa wamekata umeme na hatujui hatma ya huu ukataji wa leo ni nini? Hivi kuna kupata maendeleo hii nchi? Umeme bei juu bado unakatika katika, tena bila taarifa. Jamani CCM na serikali yake ni balaa tupu.

Maradhi mengine mabaya maana hayana tiba!! Sasa CCM ndo injinia wa Tanesco? Hujauliza na kujua tatizo unaota siasa tu au ndio kampeni ya udiwani Njombe mjini?
 
Mungu akusamehe bure, we kwa akili zako kazi za serikali ni zipi? Serikali inaongozwa na chama kipi? Poor you
 
Nitungie jina lolote utakalo, lakini ulitakiwa kueleza tatizo hili limetokana na nini tupime kabla ya kulaumu CCM. Mimi ni shuhuda wa katika ya umeme Njombe kwa siku tatu nimeshuhudia umeme ukikatika kwa nusu saa kuanzia saa 11 jioni na kurudi saa 12:30 ni jumapili umeme ulikatika muda mrefu kuanzia saa 1:30 jioni ukarudi majira ya saa 5: usiku. hii ni hitarafu ya mfumo ambayo huwezi kuiita "HALI TETE" balaa ni pale hakuna matumaini ya kupata huduma!!!
 
Maradhi mengine mabaya maana hayana tiba!! Sasa CCM ndo injinia wa Tanesco? Hujauliza na kujua tatizo unaota siasa tu au ndio kampeni ya udiwani Njombe mjini?

Acha kuleta upuuzi kwenye mambo ya msingim, wewe mkimbizi kwenye hii nchi nini, hujui kuwa serikali iliyopo madarakani ndio haohao ccm, hujui kuwa Lowasa alisaini mkataba kuuzia tanesco mitambo feki, hujui kuwa tanesco inapandisha bei ya umeme kwa nguvu ya vigogo wa ccm kuganga njaa zao usijitoe ufahamu wakati unajua kila kitu, mpuuzi wewe, unaingiza habari za uchaguzi wakati watu wanapata shida, usikute kuna ndugu zako wanaishi Njombe na wanapata shida, wewe unajua unawakomoa wananjombe pekee, ccm imekuathiri sana.
 
Afu bado wamepandisha gharama aisee yaan tanesco ni pumbaf sana na tatizo hlo siyo huko tu mkuu hata huku da es salaam maeneo ya kigamboni ndo kilio chetu!
 
Wananjombe na sisi tubadilike, ccm imechoka kuongoza, matatizo yote haya yamesababishwa na haya maccm, hata tukipiga kelele haitatusadia kitu kama hatuchukui hatua, nasikitika sana kuona wasomi wa njombe, wanatokaka vyuoni wanarudi kuendelea kuungana na ccm kuiangamiza njombe yetu, wazazi wametusomesha kwa tabu sana, hawanywi hata chai, lengo lao kubwa tusome turudi kuwakomboa, cha ajabu tunajitoa ufahamu kwa uroho pesa na kujikuta tunawasaliti wazee wetu, tunashindwa kutoa elimu ya uraia kwa wazee wetu na kuwaongoza njia itupasayo kupita, tunawaacha waendelee kurubunika kuichagua ccm ambayo ndiye adui yetu mkubwa, tunahitaji mabadiliko, na tuanze kuonesha mfano kwenye huu uchaguzi mdogo.
 
Mkuu poleni sana
 
Asante mkuu wangu ndo nchi yetu ambayo tunaendelea kujikongoja nayo na hatujui mwisho wake ni wapi!
 
Wananjombe na sisi tubadilike, ccm imechoka kuongoza, matatizo yote haya yamesababishwa na haya maccm, hata tukipiga kelele haitatusadia kitu kama hatuchukui hatua, nasikitika sana kuona wasomi wa njombe, wanatokaka vyuoni wanarudi kuendelea kuungana na ccm kuiangamiza njombe yetu, wazazi wametusomesha kwa tabu sana, hawanywi hata chai, lengo lao kubwa tusome turudi kuwakomboa, cha ajabu tunajitoa ufahamu kwa uroho pesa na kujikuta tunawasaliti wazee wetu, tunashindwa kutoa elimu ya uraia kwa wazee wetu na kuwaongoza njia itupasayo kupita, tunawaacha waendelee kurubunika kuichagua ccm ambayo ndiye adui yetu mkubwa, tunahitaji mabadiliko, na tuanze kuonesha mfano kwenye huu uchaguzi mdogo.

Mkuu hilo ni jambo la kweli.
 
Wapgie cm tanesco watakusaidia ss unatak tukusaidieje sasa?? We sema tukupe no za tanesco uwapgie ndio klichobk
 
Acha kuleta upuuzi kwenye mambo ya msingim, wewe mkimbizi kwenye hii nchi nini, hujui kuwa serikali iliyopo madarakani ndio haohao ccm, hujui kuwa Lowasa alisaini mkataba kuuzia tanesco mitambo feki, hujui kuwa tanesco inapandisha bei ya umeme kwa nguvu ya vigogo wa ccm kuganga njaa zao usijitoe ufahamu wakati unajua kila kitu, mpuuzi wewe, unaingiza habari za uchaguzi wakati watu wanapata shida, usikute kuna ndugu zako wanaishi Njombe na wanapata shida, wewe unajua unawakomoa wananjombe pekee, ccm imekuathiri sana.

Mwambie mleta uzi ajifunze utoaji habari. atoe sababu ya chanzo cha tatizo tujue nani wa kumlaumu, unaposema umeme unakatika sababu ya CCM maana yake nini? CCM ndiyo imekata nyaya, imeangusha nguzo, imeunguza transforma za kupoza umeme au ndiyo imesababisha mvua kubwa kunyesha na kusababisha kuathirika miundo mbinu?
 
Maradhi mengine mabaya maana hayana tiba!! Sasa CCM ndo injinia wa Tanesco? Hujauliza na kujua tatizo unaota siasa tu au ndio kampeni ya udiwani Njombe mjini?

We ni kilaza kweli hii serikali ni ya chama gani?
 
Back
Top Bottom