TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,587
Wanaume Arusha walalamika kunyimwa tendo la ndoa
UPDATE;Imebainika kwamba idadi ya wanaume wanaotoa malalamiko yao dhidi ya wenza wao Arusha imeongezeka mara mbili kwa mwaka 2016 ikilinganishwa na mwaka juzi 2015 na unaambiwa kinachochangia ni ukatili wakijinsia hali ya uchumi pamoja na wengine kukataa kushiriki tendo la ndoa
Akitoa taarifa hiyo wakati akizungumza na Godfrey Thomas Mkuu wa Kitengo cha Dawati la Jinsia na Watoto mkoa wa Arusha Mkaguzi wa Polisi Happyness Temu amesema kwamba idadi hiyo imeongezeka kutoka walalamikaji 34 mwaka 2015 hadi kufikia 63 mwaka 2016 ambapo ni sawa na 48%.