Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na Mtendaji.
Madai ya wanakijiji hao Uongozi wa kijiji umeuza mali, mashamba ya kijiji na kuhujumu miradi mingi ya kijijini hapo pia wakiulizwa wanageuka mbogo kwa ukali.
Wananchi wamefunga mkutano kwa nguvu ya umma na kumkataa Mwenyekiti na Mtendaji wa kijiji hiko kwakua wao ni sehemu ya wizi, ufisadi na ubadhirifu wote.
Ikumbukwe hawa ndio viongozi waliopita bila kupingwa kwenye utawala wa CCM mwaka 2024.