Hali ya Siasa Nchini

Hali ya Siasa Nchini

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
507
Reaction score
191
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa Tz imekuwa ktk vuguvugu kali la mabadiliko ktk siasa zake na mfumo weke mzima. Embu tufanye tathimini ndogo sana khs hali ya siasa nchini kwetu.
Je unadhani siasa nchini mwetu inavyokwenda ni....
(a) inakua
(b) inakufa
 
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo
[/h]

kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa tz imekuwa ktk vuguvugu kali la mabadiliko ktk siasa zake na mfumo weke mzima. Embu tufanye tathimini ndogo sana khs hali ya siasa nchini kwetu.
Je unadhani siasa nchini mwetu inavyokwenda ni....
(a) inakua
(b) inakufa
 
Hakuna sehemu duniani ambako siasa imeshawahi kufa. How do you define kufa kwa siasa?
 
Dr Slaa ni mwiba mkali kwa ccm maana wanafanya kila mbinu za kumchafua lakini anazidi kung'ara tu!!!!!!
 
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo
[/h]

wewe umetumwa na magamba! hiyo post yako umeamua kuweka ktk kila uzi.....
 
"Mrefu hahitaji kuruka " magamba mtaruka sana mmfikie dr ila hamwezi, mtamchafua sana dr mbinu zenu zote zitaisha dr Slaa ni kiboko yenu. 5mn.
 
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo
[/h]

leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo

mkuu hii habari imenisikitisha sana. kwa staili hii? anyway labda tusubiri.
 
Inashangaza sana kwa chama cha mapinduzi kuanzisha personal attacks na kujisahau kuwa wana mengi waliyoahidi kwenye ilani yao ya uchaguzi kama chama tawala na hawajatekeleza mpaka sasa!mpinzani kusimama na kutangaza kutotekelezwa ahadi zenu ni kazi yake na ndicho tunapenda kusikia toka kwao!tambueni kuwa hamkuruhusu mfumo wa vyama vingi ili vije kuwasifia nyie chama tawala!mnapaswa mjitathmini kuwa ni kwa nini mnakosolewa!its just kwa sababu ya dharau,kupuuzi mambo,Udhaifu wa baadhi ya viongozi wenu na uzembe wenu wa kujisahau na kuona kama watz ni mashine zenu za ATM!Watz wa leo wamezinduka mnashindwa mfanye lipi muache lipi!badala yake mnashindwa kufanyia kazi ilani yenu na kuanza kutekeleza ya upinzani(CHADEMA).Hatuhitaji degree, masters au phd kumpata wa kutuongoza bali uelewa,dhamira safi na nia ya dhati inayotambua na kuthamini haki,utu na ukombozi wa kweli wa mtanzania!acheni ku deal na personal issues za watu na kuzihubiri majukwaani!jifunzeni kwa vyama tawala vya nchi nyingn(uganda,kenya,marekani, nk) muone jinsi wanavojitofautisha na ku act kutekeleza ilani zao tofauti na nyie!mkipanda jukwaani mnaishia kutukana kuonesha jinsi msivyo na nidham ndani ya chama!huwa mnamtukana nani?kazi yenu mnatakiwa mtende in such a way mnamaintain wale wanachama wenu,na kuwaimpress wale wa upinzani ili warudishe imani yao kwenu!tambueni hata kichaa ni muhimu kwenu!mkimtukana slaa,mbowe,zito et al mjue mmetukana na kuzidisha chuki ndani ya watz wakiwano wanachama wenu milioni kadhaa!CCM,PRACTICE WHAT U PREACH ACHENI LONGOLONGO!
 
Tatizo la CCM makada wako wengi ni watu kuokotana mitaani. Hawana elimu ya political science na hawana mtu wa strategic politics ndio maana muda mwingi wanautumia kuifanyia promo CHADEMA na Dr Slaa. Kwa sasa CDM haitasumbuka sana kufika vijijini maana kila maccm yanapofika CDM na Dr Slaa watatajwa na hivyo kuwapa fursa wananchi wasiomjua kumfaham.

Ni vigumu sana kwa mwanamama aliyejifungulia SAKAFUNI akakubali kuichagua CCM eti kwa vile Dr Slaa alikopa milioni 10 za CDM. Anaweza kuichagua CCM kama itamuhakikishia huduma bora za afya wakati wa uzazi wake unaofuata. Pia ni vigumu wananchi wa Temeke wanaonunua maji kwa shs 500 ndoo kumuona Waziri Maghembe ni mkweli kuliko Mh Mnyika aliyewapigania bungeni kuhakikisha serikali inawajibika kuboresha huduma za maji ambayo hawayapati. maccm yana uwendawazimu, yanatumia kundi la vijana wasio na akili na vilaza kubuni mipango ya kuendeleza chama chao. Tangu lini akili ndogo ikaiongoza akili kubwa?? Chichidodo style ndo maccm yanavyoenda
 
umenena mkuu!wasomi wote,wanasheria wote wapo chdm!ccm kuna kina kingunge,lusinde,maji marefu,dr fastjet,nchemba,wasira,lukuvi,kigwa,abood na wengineo!sara hawa unategemea lichama litakuwaje!
 
Haina shaka tulipo fikia hapa ni matokeo ya siasa za udini zilizotumiwa na ccm katika kila uchaguzi mkuu kwa makusudi ya kutugawa watanzani, sasa wamefanikiwa na matokeo yake ni chato. Kila uchaguz mkuu unapo fika ccm hutumia sera ya udini kama mtaji wao wa kisisa. Enzi za uhahi wa cuf walisema ni chama cha kiislaam na watanzania wakaaminshwa hivyo kwa kiasi kikubwa wakristo walio wengi wanakitazama cuf kwa mtazamo huo kua ni chama cha wailslam. Miaka ya 2000 ccm kwa tafsiri ya haraka ilikua ya wakristo. Uchaguzi mkuu wa 2005 moja ilani ya ccm ni kuanzishwakwa mahakama ya kadhi wakijua nchi haina dini kikatiba bali watu wake wana dini. 2010 ccm kwa kuona chadema ina nguvu wakasema ni cha kikristo maana yake nini ccm ni chama cha waislamu. Chuki hii ya kugombea hata kuchinja watanzania tuliish kwa jadi zetu kwa nini haya yaje leo? Ccm tunawaomba msituletee udini nkwan nalo mnalo chonde chonde. Mungu ibariki tanzania
 
CCM ni kundi dogo la wapumbavu wachache linaloongoza umma mkubwa wa Watanzania kuwapeleka vitani, tena vita vya wenyewe kwa wenyewe, NINA MASHAKA NA UWEZO WA AKILI ZA JAMAA WA MAGOGONI, nahisi amekatikiwa mshipa wa aibu.
Wewe wananchi wanauana umekaa kimya unachagua wanawake mia mia, ngoja 2015, MTATUACHIA NCHI YETU,
HATA KWA UPANGA

Sent To JamiiForums Using Anti-BAN Software
 
udini wa ccm waiva... zanzibar waendeleo kutekeleza ilani ya ccm kwa sera ya udini iliyoassisiwa tangu wakati wa cuf-mwaka 1995 na hatimaye kwa chadema iliyobatizwa kama chama cha wakristo mwaka 2010.... ama kweli ccm imeishiwa siasa za kistaarabu..... Dr. Slaa, "...hizi ndiyo hatua ya mwisho ya watawala na wanasiasa walioishiwa....
 
Bunge la Kikomunist Lazinduliwa
Huko DodomaNi habari za kusikitisha na kuhuzunisha kuona kwamba taratibu za ukomunist ambao ulipigwa
marufuku kote duniani mwaka 1991 leo hii bunge letu limezindua mikakati ya kuliendesha
bunge kwa kutumia taratibu za kikomunist! Baadhi ya makala zangu za nyuma nimewahi
kuelezea kwamba moja ya silaha zinazotumiwa sana na wakomunist ni kutengeneza mazingira
ya usiri kati ya watawala na watawaliwa, kwa vile watawal;a siku zote hawapo sahihi na
wala hawajiamini mbele ya watawaliwa ambao ndiyo wananchi waliowaweka madarakani.
Wakomunist wanapangiwa waseme nini!? Waende wapi na wapi wasiende!? Wavae nini na nini
wasivae!? Wale nini na nini wasile!? Wafikiri juu ya nini nakadhalika!​
Siamini kwamba katibu wa bunge Dr. Thomas Kashililah alitafakari kabla hajaozungumzia
hoja yake ya kutaka vikao vya bunge visirushwe moja kwa moja, nasema hivyo kwa vile
sababu alizozitoa si sababu za kimsingi wala hazileti fikirishi kwa mtu yeyote anayejua maana
bunge ni nini, na nani mwenye mamlaka na bunge!? Bunge ni mali ya umma, na umma ndiyo
unalichagua bunge na kama umma ndiyo unalichagua bunge sioni sababu ya kuwafungia
wabunge wasionekane au wasisikike wanachokiongea kwa kisingizio cha kukiuka maadili na
kanuni za bunge!Tena ni vizuri wabunge wanapopigana wananchi waone ili wajue kinachowapiganisha ni kitu
gani? Kinachowapiganisha kinalenga maslahi ya umma au binafsi; wananchi wanataka kuona
ni mbunge gani yupo tayari kupigana na hata kung’olewa meno kwa ajili yao! Hivyo npyo
tunavyowapima wabunge wale wanaojitoa muhanga kwa ajili yetu, na pia kuwaona wale
wanafiki wakisimama majukwaani wanatoa ahadi za uongo kwamba watasimamia haki lakini
wakiingia bungeni ni waoga hata kunyosha kidole wanaogopa!Wabunge kupigana bungeni ni jambo la kawaida kwa mabunge mengi duniani, tumewahi
kushuhudia wabunge wa Uingereza, Urusi, Ukraine, Marekani, Brazili na kwingineko wabunge
wakishindana kuhusu hoja na kuishia kurushiana matusi na mwishowe kupigana, hivyo na sisi
tusione kitu cha ajabu wabunge kupigana, kwa vile kupigana kwa wabunge ni ishara ya kukua
kwa democrasia. Ukikuta bungeni hakuna mizozo wala mivutano ya hoja, basi jua kwamba
hakuna democrasia na bunge hilo ni bunge la mwelekeo mmoja.Sababu alizotoa katibu wa bunge Dr. Thomas Kashililah za kwamba wabunge wanawake
wanapojua kwamba watatoa hoja, huwa wanakuja wamevaa vizuri na kujipodoa akiitumia
sababu hii kama kigezo cha kutorusha matangazo moja kwa moja; mimi naoni hii ni sababu
isiyokuwa na msingi kwa vile mwanamke hata akienda gengeni kununua nyanya ni lazimaajipodoe! Sasa unataka akiingia bungeni awe amevaa ovyo ovyo wakati anaenda kusikilizwa na
waajiri wake ambao ni wananchi! Wakimuona amevaa ovyo ovyo na hakujipodoa si wananchi
watamnyima kura uchaguzi ujao!?Dr. Thomas Kashililah anaposema baadhi ya wabunge wanapochangia hoja huwa
wanazungumza mpaka mishipa inatoka, hivyo anataka kuitumia hoja hii kama sababu ya vikao
vya bunge kutorushwa moja kwa moja; pia hii si sababu ya msingi ambayo inaweza kutolewa
na katibu wa bunge; bungeni ndipo sehemu pekee ya kuonyesha umahiri wa kuongea kwa vile
bungeni ni jukwaa pekee linalotambuliwa kikatiba katika kutetea maslahi ya umma; na kama
mbunge atalitumia jukwaa hili kwa manufaa yake wewe muache tu kwa vile sisi wananchi
tupo macho tunamuangali moja kwa moja kupitia runinga zetu. Akizidisha umimi 2015
tutampumzisha!Dr. Thomas Kashililah anaposema waandishi wa habari wanampiga picha spika akiwa ameinama
au amelala bungeni, na akitaka kukitumia kigezo hichoi kama kuunyima umma wa watanzania
kutoshuhudia bunge lao ambalo wameliajiri na kuliruhusu kutumia kodi zao, pia ni sababu
ambayo haina msingi na kulingana wadhifa aliokuwa nao katibu wa bunge hakustahili kutetea
sababu kama hiyo, kwa vile bungeni ni jukwaa la kujadili matatizo ya wananchi na wala siyo
sehemu ya kulala au kupumzika; kama spika analalalala bungeni inaoshesha hatekelezi wajibu
wake kikamilifu na kama ndiyo hivyo ni kwanini bunge lisimuwajibishe!?Bwana Kasililah anataka aturejeshe nyuma kwenye zile enzi za giza la kikomunist ambapo
wabunge walikuwa wanajifungia na kuongea mambo waliyotaka na baada kuyachambua yale
tuliyostahili kuyasikia na kutangaziwa kwa njia ya redio, na yale tusiyostahili walibaki nayo
wenyewe! Bunge la kikomunist hupangiwa uvae nguo gani!? uulize swali gani!? utoe jibu
gani!? mwandishi wa habari apige picha gani au akaandike kwenye gazeti kitu gani!? Huu ndiyo
utaratibu wa mabunge ya kikomunist yalivyokuwa enzi hizo, sasa wewe na uelewa wako unataka
uwarudishe watu kizani kwa maslahi yako binafsi, hatutakubali kwa hilo hata siku moja. Wewe
waache wabunge wafanye wafanyavyo sisi ndiyo waajiri wao ukifika muda wa kusitisha ajira
zao tutafanya hivyo mara moja, wewe tunachokuomba ukiona spika amelala na huku bunge
linaendelea mwamshe ili azinduke usingizini asije akaidhinisha sheria za maangamizi!Dr. Noordin Jella (Ph.D. in Economics)
Former Lecturer of Mzumbe, Open & KIU – Dar, Universities.
Currently: Freelance Journalist & Seasonal Political
 
Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini yanayohusiana na udini.Cha ajabu serikali imekuwa inalalamika dhidi ya chokochoko za udini.Pamoja na kuwashughulikia Uamsho na sheikh Ponda,bado kuna udhaifu katika kudeal na Udini hapa TZ.Katika kushauri napendekeza kwamba kuwe na baraza la ushauri la masuala ya kijamii kila Kijiji na kata ambalo ni independent..otherwise TUNU ZA TAIFA ZITAPOTEA SOON.
 
JK azungumze na ndugu zake na awaonye kabisa kwamba mbinu zao zimegundulika, waache mchezo huo lazivyo watateketea wote soon, akiwemo yeye mwenyewe.
 
wanaharakati wa kupambana na rushwa na asasi za karaia nchini zambia wameitaka serikali iondoe kinga ya kutoshtakiwa mahakamani kwa raisi aliyepata bw.K.Banda,ili ajisafishe mahakamani dhidi ya tuhuma zinazomkabili kuhusu ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka pindi alipokuwa madarakani.je tanzania inawezekana hivyo tukiiangalia tume ya mabadiliko ya katiba?

TOA MAONI YAKO
 
Back
Top Bottom