themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,843
Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna.
Waulizeni wa Kimara watawapa majibu vizuri. Mwendokasi haujawahi kukidhi idadi ya abiria hasa jioni na asubuhiTunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna.
Kuna kampuni ya UAE inaitwa Emirate National Group ilisemwa wamepewa kazi ya kuisimamia mradi wa mwendokasi sijui iliishia wapi?ufanisi wa mwendokasi ni mdogo sana, apewe kazi DP WORLD.
Kuongeza ruti bila kuongeza mabasi ni kututesa tu abiria tunaotumia hii huduma, mfano Mbezi Mwisho asubuhi magari ni machache sanaTunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna.