Huo mpira uliouweka hapo mbele unaniambia uanze tu kutumia jina lako la "sirikale"!Nimekutambua.Nilikuwa nimetoka kununua furu mwaloni nikakuona uso kwa macho.Hakuna pa kupita watu wa miguu
Malizeni yale masoko haraka mnajenga vitu gani haviishi nyie
View attachment 1943672
View attachment 1943673
View attachment 1943674
View attachment 1943675
View attachment 1943676
View attachment 1943677
View attachment 1943678
Hii saratani tuliilea wenyewe kwa sababu za kisiasa sasa imekula hadi mifupaHakuna pa kupita watu wa miguu
Malizeni yale masoko haraka mnajenga vitu gani haviishi nyie
View attachment 1943672
View attachment 1943673
View attachment 1943674
View attachment 1943675
View attachment 1943676
View attachment 1943677
View attachment 1943678
Kila mtu alikaa kimya JPM alipopalilia hili suala...Hii saratani tuliilea wenyewe kwa sababu za kisiasa sasa imekula hadi mifupa
Kitu furu mwanangu[emoji23][emoji23]Huo mpira uliouweka hapo mbele unaniambia uanze tu kutumia jina lako la "sirikale"!Nimekutambua.Nilikuwa nimetoka kununua furu mwaloni nikakuona uso kwa macho.
Naogopa Ni wapiga kura wa mtukufu.πππππHaahhaah Jadili mada
Ngoja nimkumbushe mama Bhoke akaange.ππππππππ ntukufu hayupo sasa
Hizo furu unakaanga au ?
Nije na "suti" ya kuogelea au mapesa ya shopping hapo mall?ππππHaya sawa kesho tukutane mwalon mkuu
Tunajenga lami kwa billions halafu unamruhusu Chingaboy apange "malapa" na magari au watu wasipite.πππππMwanza ni Shida tupu . Mjini vulu vululu . Mbeya afadhari Kero si kubwa kivile
Duh!Mungu na wanadamu!Ntajitahidi nisisahau pin ya "eityemu"!ππππPesssaaaaaaaaaaView attachment 1943728