Hali ya Mabere Marando

cdf hasikiki itakuwa comandor Marando? Wananchi tujipange kulinda kura zetu...
 
R.I.P Deo Filikunjombe
Ila huyu jamaa baada ya kufuatilia maelezo yake kwa undani, nimegundua alikuwa fighter na asiyekubali kushindwa kirahisi.
Alafu nasikia kuwa alikuwa anashikilia taarifa nyingi na muhimu juu ya sakata la escrow hasa zile za viroba na sandarusi! R.I.P

 

Eeeee bhana eeeeee !!!!!
 


Taarifa za kiintelijensia zimasomeka kwamba escrow ndio imemuondoa kijana wetu deo filikunjombe.
 

....unaulizia afya au ishu ya kutangaza matokeo ..?
 
thread yako imekaa kichochezi zaidi. sioni uhusiano wa hicho walichokiandika.



 
Ya kweli haya!!!!!
 
Kwa nini sisi binadam tunafurahia mauti ya binadam mwenzetu. Huu si uungwana. Utu ni zaidi ya hizi siasa. Nimeshangaa watu wanafurahia hata kifo cha filikunjombe ala!! Ivi tumelaaniwa. Eti kisa siasa.

Kwa nini binadamu anatengeneza SILAHA. Mabomu. Drones. BMs. Tanks. Kwa nini binadamu anatengeneza sumu? Kwa nin binadamu huchangia msiba na sio kuchangia matibabu?
 
Si vema mwanadamu awaye yote akanena kwa kiburi! Siri za Maisha yetu ni Mungu anajua! Tumtumaini Mungu! Tuache kiburi cha uzima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…