WE ARE ANONYMOUS
JF-Expert Member
- Mar 23, 2015
- 217
- 284
Wewe ndio unayewashwa, whats ur point?Hivi huwa mnawashwa?
Umofia kwenu wana JF!
Huyu kamanda nakumbuka pale Kinondoni alituthibitishia kwamba kura hazitaibiwa na yeye mwenyewe atatangaza matokeo ya uchaguzi mapema kabisa kabla hata tume haijatangaza.
Ghafla tunakuja kusikia jamaa hali yake ni mbaya anaumwa na kapelekwa India kwa matibabu zaidi.
Leo imebaki wiki moja tuingie kwenye uchaguzi mkuu na bado "mtangaza matokeo" wetu hatujui hali yake wala hatumsikii tena.
Anaendeleaje huko india? au ndio polonium-210 katika ubora wake?
Wakatabahu!!
Watu wa ccm wakiambiwa wamelishwa sumu wanawekwa ndani na kupelekwa mahakamani?
Kama aliwaahidi atawatangazia matokeo maana yake labda atarudi kabla ya matokeo. Lakini kunyume chake labda ameona upepo haupo upande wake bora apige kimya tu. Kura yangu ni kwa Magufuri.
Kama aliwaahidi atawatangazia matokeo maana yake labda atarudi kabla ya matokeo. Lakini kunyume chake labda ameona upepo haupo upande wake bora apige kimya tu. Kura yangu ni kwa Magufuri.