Hali ya kupata kichefuchefu muda mrefu

Hali ya kupata kichefuchefu muda mrefu

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
106
Reaction score
191
Ndugu zangu musinicheke ila nina hali ya kupata kichefuchefu na kujiskia kutapika muda mwingi sana ila sitapiki mda wote natema tu mate naomba msaada hii hali inasababishwa na nini nitumie nini ili iondoke
 
Assalamualaikum. Hatua ya mwanzo: Nunua dawa ya minyoo jioni ya leo na ule kesho asubuhi In'Shaa'Allah. Ukienda pharmacy utapewa dozi ya siku 3
 
Ndugu zangu musinicheke ila nina hali ya kupata kichefuchefu na kujiskia kutapika muda mwingi sana ila sitapiki mda wote natema tu mate naomba msaada hii hali inasababishwa na nini nitumie nini ili iondoke
Asidi tumboni imezidi imepekea kulegea kwa oesophagus hivyo kiasi fulani cha nyongo toka tumboni hupanda juu na kuleta uchungu au kichefuchefu au vyote.
Vyakula vya kuviacha
  • vyakula vyenye sukari eg. Soda, keki, chai ya sukari n.k
  • vyakula vyenye asidi kali eg. Maharagwe, nanasi, n.k
  • Vyakula vya viwandani eg. Energy drinks, bottled juice, nk
  • vyakula vyenye ngano eg mikate, mandazi nk
  • Ukihitaji maelezo zaidi hasa tiba asili waweza comment nikasagest baadhi ya tiba
 
Back
Top Bottom