Hali ya kisiasa Zanzibar ikoje?

Hali ya kisiasa Zanzibar ikoje?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,317
Reaction score
13,757
Leo mheshimiwa Rais yuko ziarani Zanzibar na ameweza kuweka Mashada ya maua akiwa na mke wake mama Jesca kwenye Kaburi la aliyekua makamo wa Rais awamu ya Tatu Hayati Dr. Omari Ally Juma.

Najiuliza si kawaida Rais kuja na kuwa na wanajeshi wengi kiasi hiki yaani kama ameenda kutembelea askari waliopo vitani yaani kuna tight security kwa mara ya kwanza naona Askari amegeukia pembeni haangalii lile tukio na inavyoonekana Zanzibar hawana Uoga sana na Askari wao Askari wa JWTZ ndo wanawaogopa.

Je mlioko Zanzibar huko Kibanda maiti, Jang'ombe, Kwa Hamada, Mwembeladu, Mwembe Chai, Fuoni, mtueleze hali ya kisiasa Zanzibar
IMG_20160902_142830.jpg
IMG_20160902_142835.jpg
 
Hali ya kisiasa zanzibar inajulikana siku zote
hujasikia wanaokwenda kumsikiliza raisi wamechukuliwa dar na mapinduzi ll na hujaona bandiko la wafanyakazi kulazimishwa waende uwanjani?
 
Hivyo vyote ni vyombo vya dola. Rais anao uwezo wa kuvitumia atakavyo
 
Zanzibar Kwasasa hali imetulia sema watu bado wanaugumia moyoni.

Ukweli ni kwamba kama ccm imekula haramu basi majibu yake yatapatikana awamu hii.
Naona sasa matamko kibao ya kujiteteaa kuhusu mzunguko wa fedha kuwa mdogoo, laana zote zitawafikia na mwisho wa siku mtaikimbiaa ikulu wenyewee.
 
hivi magu ni rais mpaka pemba..?

Hata Halmashauri ya Mji mdogo wa Pemba ni sehemu ya Tanzania usihadaike na Mbwembwe za 'Mkurugenzi'wake kutembelea ving'ora na misafara.

Miaka 100 iliyopita Zanzibar ilijulikana kama Empire leo hii baada ya Vurugu za kisiasa imekuwa Manispaa ya Mji wa Zanzibar, CUF wasipoacha Siasa za kichochezi itashuka mpaka itakuwa chini ya Tamisemi
 
Back
Top Bottom