Tehee teheeeNdugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !
- Huduma duni za wodini.
- Ongezeko la vifo wodini ghorofa ya kwanza, Tatu.
- Huduma Kutolewa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCM-COLLEGE (mwaka wa NNe na wa TANO)
- usafi wa hospital, wodini!
Baba Askofu Dr. Alex Malasusa, Mkurugenzi Mtendaji Dr.M. Ntabaye, Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Bw.Stanley Mmbaga wakimbiwa na madaktari walipo jaribu kuzungumza nao ukumbini leo.
Ndugu zangu naomba kwa haya nayowaeleza mpate kunijuza yawezekana kuna mwenye ufahamu wahili.hatima ya KCMC MULIPOTOKA, MULIPO, NA MUENDAKO !
- Huduma duni za wodini.
- Ongezeko la vifo wodini ghorofa ya kwanza, Tatu.
- Huduma Kutolewa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCM-COLLEGE (mwaka wa NNe na wa TANO)
- usafi wa hospital, wodini!
kwani pesa za MOU huko KCMC HAZIFIKI?