STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,601 Aug 17, 2021 #301 Maghayo said: Unamtumiaga hela za sosho za walipa kodi uswisi? Click to expand... Kwani mm silipi kodi, ana kazi yake ila nikipata vizawadi namrumia, akihonga wengine kimpango wake
Maghayo said: Unamtumiaga hela za sosho za walipa kodi uswisi? Click to expand... Kwani mm silipi kodi, ana kazi yake ila nikipata vizawadi namrumia, akihonga wengine kimpango wake
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,599 Reaction score 2,902 Aug 17, 2021 #302 Legrema2050 said: Mademu wa mbeya, iringa na njombe wana sura ngumu hatari Click to expand... Halafu miguu Ina mimba (vigimbi) sijui ni kwa sababu ya milima milima....ππ
Legrema2050 said: Mademu wa mbeya, iringa na njombe wana sura ngumu hatari Click to expand... Halafu miguu Ina mimba (vigimbi) sijui ni kwa sababu ya milima milima....ππ
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,599 Reaction score 2,902 Aug 17, 2021 #303 Wordsworth said: Hahaahaa acha tu. Ukitoka kwenye AC ukaingia kwenye hewa ya kawaida unaweza kuhisi mtu kakukaba. Click to expand... Siku hiyo mi kwenye daladala nilisimama halafu Kuna mdada tulipishanisha shingo yaan mi nilipata tabu kote kote lkini wenye mji ni kawaida tu...
Wordsworth said: Hahaahaa acha tu. Ukitoka kwenye AC ukaingia kwenye hewa ya kawaida unaweza kuhisi mtu kakukaba. Click to expand... Siku hiyo mi kwenye daladala nilisimama halafu Kuna mdada tulipishanisha shingo yaan mi nilipata tabu kote kote lkini wenye mji ni kawaida tu...
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 8,996 Reaction score 6,922 Aug 17, 2021 #304 KakaJambazi said: Thread kama hizi enzi ya mwaka jana hazikuwepo. Mnatengeneza mazingira ya kuikwamisha makao makuu, ili mrudi dar naona. Click to expand... too late
KakaJambazi said: Thread kama hizi enzi ya mwaka jana hazikuwepo. Mnatengeneza mazingira ya kuikwamisha makao makuu, ili mrudi dar naona. Click to expand... too late
Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 3,223 Reaction score 9,075 Sep 3, 2022 #305 Wanaume wa Dar mashoga sana, mwanaume mzima unalalamika hali ya hewa umekua mwanamke..? π©π€¬
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,984 Sep 5, 2022 #306 Matanga said: Dodoma Malaya anataka 80000 mpaka 70000 kulala nae mpaka asubuhi short time wanataka 30000 mpaka 40000 Click to expand... Basi watakuwa matajiri sanaa
Matanga said: Dodoma Malaya anataka 80000 mpaka 70000 kulala nae mpaka asubuhi short time wanataka 30000 mpaka 40000 Click to expand... Basi watakuwa matajiri sanaa