Hali ya hewa Wilayani Rombo

Hali ya hewa Wilayani Rombo

Shacks John

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Usiku wa kuamkia leo hali ya hewa ilikuwa siyo nzuri kutokana na Radi kal zilizotawala masikioni mwa wakazi wa wilaya hiyo pamoja na giza nene lililotanda cha kushangaza hakuna mvua iliyonyesha tulichoambulia ni manyunyu tu.
 
Hayo ndo mabadiliko ya nchi mkuu,pia tegemea siku moja radi kwenye jua kal
 
Mvua za mwaka huu sio za kuaminika sana zina majanga
 
Moshi mvua imenyesha usiku wa kuamkia leo na mingurumo ya radi ilikuwa mikali sana.ndo masika yenyewe haya.
 
Back
Top Bottom