hali ya hewa mbeya imeathiri show ya aunt virus(vinega)

hali ya hewa mbeya imeathiri show ya aunt virus(vinega)

bpouz

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
38
Reaction score
11
wadau nipo ndan ya mby for x mass nimekutana na show ya aunt virus ambayo inafanyika leo kuanzia saa 10 had saa 6 lakin kutokana na mvua zinazonyesha katika jii hili inaelekea wakapata mswak coz had sasa nipo uwanjan hapa sokoine hali ni tete watu sio weng na tayar show imeanza kitambo labda hapo baadae upepo utageuka maana mvua imeacha mda si mrefu.
 
Back
Top Bottom