co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,569 Reaction score 2,584 Jun 12, 2024 #1 Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali njoo tafadhali tushare experience.
Habari wakuu, kwa wale wakazi wa Dar es Salaam kuna kihali cha mafua na kikohozi watu wengi naona wanavyo na kwangu mimi naona week hii ya pili inaenda hali ipo vile vile… Waliopatwa na hii hali njoo tafadhali tushare experience.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,215 Reaction score 54,549 Jun 12, 2024 #2 Hii ipo maeneo mengi sio Dar tu ama ni Hidaya alichafua hali ya hewa?
co fm JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 1,569 Reaction score 2,584 Jun 12, 2024 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Hii ipo maeneo mengi sio Dar tu ama ni Hidaya alichafua hali ya hewa? Click to expand... Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana.
Mtoto halali na hela said: Hii ipo maeneo mengi sio Dar tu ama ni Hidaya alichafua hali ya hewa? Click to expand... Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana.
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,887 Reaction score 7,037 Jun 12, 2024 #4 co fm said: Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana. Click to expand... Koona.....
co fm said: Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana. Click to expand... Koona.....
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,560 Reaction score 4,013 Jun 12, 2024 #5 Ata Arusha iko ivyo shida ni nn.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,253 Reaction score 22,169 Jun 12, 2024 #6 co fm said: Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana. Click to expand... Hata hapa Dodoma ni mwendo wa kukohoa na kupenga makamasi.!
co fm said: Kumbe ni sehemu nyingi nilijua ni huku tu kwenye hili jiji la laana. Click to expand... Hata hapa Dodoma ni mwendo wa kukohoa na kupenga makamasi.!
AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 1,135 Reaction score 1,146 Jun 12, 2024 #7 Nikiripot kutoka moro mimi ni AKAN wa ITV