Hawa ndugu hawaoni wanajidhalilisha? wanatudhihirishia kuwa dini yao ni ya machafuko.Huyo mgalatia amekamatwa na hatua za kisheria zinachukuliwa, sasa wao wamataka nini tena? au wanalipwa kuleta machafuko? maana wengi wafanyao hizi vurugu hawana mbele wala nyuma, hawana kazi yoyote. wenye elimu zao huwaoni wao wala watoto wao kwenye hizo vurugu.