Wewe ndio umesoma haraka harakaTulia halafu uandike kwa mpangilio.
Hizo ni propaganda za Rwanda ili apate kisingizio cha kupigana na Burundi, Kagame anataka aweke utawala wake. Hafu Wanyarwanda na Warundi ni jamii moja vita vya nn?Kama heading inavyojieleza,kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga mipya alitoa hotuba iliyo m criticise Nkurunziza baada ya wiki 2 lilitokea tukio la uvamizi katika msitu wa Nyungwe\ Nyaruguru ambapo watu wanaosemekana kutoka Burundi walivamia wakachoma magari 3 ambapo mashuhuda walio hojiwa wanasema wavamiz walikua wanaongea Kirundi lakini wandishi wa nje hawakuruhusiwa kuhoji wanchi kuhusu tukio hilo na kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la RDF alikili kua walibahatika kuua wavamizi 3 wengine wapatao 30 walitimkia Burndi hivyo msemaji huyo alisisitiza kua watajibu dhidi ya uvamizi huo na kwaupande wa pili wa Burundi juzi katiks mdaharo uliojumuisha wandishi wa habari na mawazari akiwemo wazir mambo ya ndani msemaji wa rais ,msemaji wizara ya ulinzi na usalama wa nchi ,mwandishi 1 aliuliza halo ya usalama ktk mpka na Rwanda na uchokozi ikiwa ni pamoja na kuteka wavuvi wa Kirundi swali hilo lilijibiwa na msemàji wa waziri usalama aliwatoa hofu wanachi wa Burundi kwakusema mipaka na jiran yao huyo imelindwa na aliongeza kwa kusema tunasafisha siraha zetu kila saa na tuko imara.
Swali langu je mikataba ya jumuia EAC inazunguza nini endapo wanachama watatwangana ? Welcome all
By: JF lover
Unamtafuta Kagame eenhe,,,,Huenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Usiseme haiwezi. Vita vya nchi na nchi mara nyingi ni vigumu sana maana kwa kawaida kila nchi inakuwa na wanaoiunga mkono. Hapo akina Uganda na wenzao wanaweza kuisaidia Burundi na Rwanda pia akasaidiwa na wenzake. Tuombe tu wasipigane maana athari zake ni mbaya kwa pande zote na hata kwa watanzaniaTeh teh teh teh Burundi haiwezi kupambana na Rwanda. Labda ipate msaada wa kutosha.
Naunga mkonoHuenda tulikosea kuwakaribisha hawa wenzetu kwenye EAC...ni watu waliozoea kuuwana. Yaani wasipoona damu ya halaiki ikitiririka mioyo yao haitulii. Kuna umuhimu wa nchi hizi kuchukuliwa na kuwa mikoa ya Tanzania. Jwtz kapanueni mipaka ya nchi yetu
Ndugu angalia mfano wa vita ya Elitiria na Ethiopia ( upo kwenye top 10 ya majeshi imara afrika )Teh teh teh teh Burundi haiwezi kupambana na Rwanda. Labda ipate msaada wa kutosha.
Hadi pale wahutu wa Rwanda watakapoanza kumsaidia mhutu mwenzao wa Burundi ndiyo utagundua vita siyo a,b,c,d.Burundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Hadi pale wahutu wa Rwanda watakapoanza kumsaidia mhutu mwenzao wa Burundi ndiyo utagundua vita siyo a,b,c,d.
Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!Hadi pale wahutu wa Rwanda watakapoanza kumsaidia mhutu mwenzao wa Burundi ndiyo utagundua vita siyo a,b,c,d.
Believe or not, Rwanda has more enemies within than outside!Hadi pale wahutu wa Rwanda watakapoanza kumsaidia mhutu mwenzao wa Burundi ndiyo utagundua vita siyo a,b,c,d.
Mm binafsi ninafurahi kuona hawa ndugu wakigombana tena sipo upande wowote sababu wote ni madikitetaKama heading inavyojieleza,kuna sintofahamu kubwa kati ya nchi hizi jirani yaani Burundi na Rwanda ambapo majuzi baada ya kagame kushuhudia mazoezi ya kijeshi huku askari wake wakijaribu mizinga mipya alitoa hotuba iliyo m criticise Nkurunziza baada ya wiki 2 lilitokea tukio la uvamizi katika msitu wa Nyungwe\ Nyaruguru ambapo watu wanaosemekana kutoka Burundi walivamia wakachoma magari 3 ambapo mashuhuda walio hojiwa wanasema wavamiz walikua wanaongea Kirundi lakini wandishi wa nje hawakuruhusiwa kuhoji wanchi kuhusu tukio hilo na kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la RDF alikili kua walibahatika kuua wavamizi 3 wengine wapatao 30 walitimkia Burndi hivyo msemaji huyo alisisitiza kua watajibu dhidi ya uvamizi huo na kwaupande wa pili wa Burundi juzi katiks mdaharo uliojumuisha wandishi wa habari na mawazari akiwemo wazir mambo ya ndani msemaji wa rais ,msemaji wizara ya ulinzi na usalama wa nchi ,mwandishi 1 aliuliza halo ya usalama ktk mpka na Rwanda na uchokozi ikiwa ni pamoja na kuteka wavuvi wa Kirundi swali hilo lilijibiwa na msemàji wa waziri usalama aliwatoa hofu wanachi wa Burundi kwakusema mipaka na jiran yao huyo imelindwa na aliongeza kwa kusema tunasafisha siraha zetu kila saa na tuko imara.
Swali langu je mikataba ya jumuia EAC inazunguza nini endapo wanachama watatwangana ? Welcome all
By: JF lover
Rwanda pia ni mwoga hawezi kujiamini mbele ya NkuruzizaBurundi haiwezi kua tishio kwa Rwanda hata siku moja. Na wakitaka nchi yao iwe na utulivu waachane na Rwanda. PK kumkabili inahitaji akili kubwa ambayo Nkurunziza hana.
Ukishaona !!Wazichape tu tuone mbabe ni nani?